Kuna mdada siku moja tunaoiga story akasema yeye shabiby inajaa na hapo yupo na 28,nilimpiga chini siku hiyo huyo.
Imagine shabiby ina siti 60,mdada huyo anawezaje kutulia kwenyw ndoa
(update: amefuta post nimefuta aliyoandika)D
Duh! ......
Heshima muhimu kwa wanawake.
Mature man kwa mwanamke wa kisasa ni neno lenye maana nyingine kabisa kinyuma na maana yake halisi.Na baada ya kulipia huambulia kiburi,jeuri na dharau.Stress zingine za kujitakia aisee....eti ndoa uvumilivu,ndoa ni kwa ajili ya mature men....wewe,nani kakudanganya....mwafwa na tai shingoni😅
Yeah, ndivyo ilivyo,hawasemi tu mkuuMature man kwa mwanamke wa kisasa ni neno lenye maana nyingine kabisa kinyuma na maana yake halisi.
Ukishaskia tu mwanamke anakwambia habari za mature man ujue hapo ana maanisha mwanaume mjnga ambaye anatolerate kila aina ya upumbavu wa mwanamke.
Yaan mwanaume ambaye anavumilia dharau,jeuri,kiburi na majibu ya ovyo kutoka kwa mke wake halafu hapo hapo bado anaendelea kuwa provider.
Sure ayseeeD
Duh! Mkuu kama mama yako mzazi yupo na baba yako kumbe maza ni muuza k!?
Heshima muhimu kwa wanawake.
Bora yeye aliesema ukweliKuna mdada siku moja tunaoiga story akasema yeye shabiby inajaa na hapo yupo na 28,nilimpiga chini siku hiyo huyo.
Imagine shabiby ina siti 60,mdada huyo anawezaje kutulia kwenyw ndoa
Kwamba hawa hawa wanaopinga kuoa used Ndo hawa Hawa wanaoa kila kukicha huku mtaani?ivi wanaume wa jf ndo nyie mpo huku mitaani 🤔
Ukimwita mwanamke a used product,unamtukana Mungu
Mungu ndiye aliyeweka usichana kwa mwanamke kama alama ya agano la kutotumika mpaka aolewe.....aliyemtukana Mungu ni yule aliyevunja agano lake na Mungu wake kwa tamaa za vitu vidogo......Ukimwita mwanamke a used product,unamtukana Mungu
kutolewa bikra sio kutumika hiyo ni tafsiri potofu kwani kuna wasichana hupoteza bikra zao bila kuingiliwa na mwanaume,tusitafsiri vibaya,marlekezo ya Mola wetuMungu ndiye aliyeweka usichana kwa mwanamke kama alama ya agano la kutotumika mpaka aolewe.....aliyemtukana Mungu ni yule aliyevunja agano lake na Mungu wake kwa tamaa za vitu vidogo......
Mimi nikikuambia umetumika na kweli umetumika sijakutukana bali nimekuambia ukweli na nimeiepuka dhambi ya uongo......
Kuna tofauti kati ya kuvunja mlango na kufungua mlango.....ingawaje mwishowe wote wameingia ndani.....kutolewa bikra sio kutumika hiyo ni tafsiri potofu kwani kuna wasichana hupoteza bikra zao bila kuingiliwa na mwanaume,tusitafsiri vibaya,marlekezo ya Mola wetu