Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Aiseee, pole

So unampenda sana au mnapendana sanaaa bado?

Ningekuwa na Kaka, akakutana na yako ningemwambia aende akaishi mbali naye. Ila why bado unauliza na kupitia yote ya kuwa na mume mwenza pia? Unataka kuzikwa mapema? Ndoa yako imekufa zamani..shirikisha ndugu zako usione aibu wakuambie sababu wanakujua wewe... ila duh

Kama hauna maamuzi Sali usubiri maono ufanyaje..

Asante sana kwa ushauri wako nashukuru sanaa ndugu yangu nimeshauriwa muda sana kuachana nae ila sijasikiliza kabisaaa.....ila nashukuru kwa ushauri wako na mwenyewe naona ndoa imekufa mda mrefu sana....
 
Pole ndugu. Kuoa single mother sio kosa. Pengine hukuchukua muda wa kutosha kumchunguza tabia.

Pia inabidi urudi kwa jamaa kumuuliza ilikuwaje wakaachana. Mfanye awe rafiki. Pili mhoji kwa nini alisema hutamzalisha huyo mwanamke.

Naye mwanamke kitendo cha kukudharau ni kuficha madhaifu yake, ambapo kwa namna moja uliruhusu huo udhaifu hadi ikawa mazoea kwake. Sio sahihi kutukaniwa wazazi.

Unampenda? Unaona mbeleni kuna future? Tayari mna watoto, na bado mkiamua mnaeeza kupata wa kwenu.

Kikubwa mmeruhusu mahusiano (sijui kama mmefunga ndoa) kuingiliwa na watu wengine. Hili nalo la kutazama sana. Hamtaweza kuwaepuka bali mtaweza kuwadhibiti.

Ukimwangalia ana mapenzi nawe japo ana dharau? Pengine dharau inatokana ns masuala ya kipato.

Muhimu kwenye ndoa yako uwe mwelewa. Usiwe emotional. Usiwe reactive. Usiwe too rational. Kuwa muelewa. Muelewe na mengine yatajisumbukia
Mleta mada KAMWE usifuate huu ushauri.
 
Duu blaza mbona unaishi kinyonge sana? You need to show authority as a man.
Hebu tafuta mahubiri ya mwamposa yenye kichwa cha habari "Mwanaume lazima uwe mwanaume" labda yatakusaidia.

Asante sana kaka nashukuru sana kwa hili na nimekuelewa vizuri kabisaa nitasikiliza wala hamna neno kabisaa.....
 
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa wewe

Mwache arudi kwa Mzazi mwenzie wakalee mtoto wao

Kunguru hafugiki kamwe

Nimekuta wameachana tayari... Na jamaa ana mwanamke mwingine kabisaaa na wamezaa huko aliko kwa sasa sasa hapo kosa lipo wapi hasaa??
 
Mna ndoa nae. Ila hamna mtoto.
Mwanamke ana mtoto kabla ya ndoa na ww ukapata mtoto nje ya ndoa. (Na Sababu zako ulizotoa zinaeleweka).

1. Hii kukuita Idiots ww na Familia yako ni kwasababu inawezekana kuna vitu ving ww pamoja na familia mnafanya na ni vya kijinga. Kwahiyo yeye katoa yaliyo moyoni mwake.
Jifunze : usiseme mambo mabaya ya familia yako kwa mke wako (maana atakujumuisha na ww).
- hata mambo mabaya ya marafik zako kwa mke wako (maana atadhan na ww unafanya).
☝️☝️☝️Hii ni ushaur kwa wanandoa wote

2. Kushare passwords. Na kuchunguza simu ya mkeo/mumeo sio sawa na sio kigezo cha kwamba ndio mnapendana. (Hii mueleweshe, akikataa tumia kauli yako dhabiti kama Mwanaume. Kwan hujui mwanaume ana Say kubwa akikaza na mitazamo yake?, kwahiyo kaza kwenye hili).
☝️☝️☝️☝️ na hili pia.

3. Kupigana, kumwagiana bia, kukurushia chupa na maneno maneno wanaume hatunaga.
Hebu mpe action moja. Siku akikupandishia maneno na kukupa vurugu chapa vibao viwili vitatu, sepa home , usimtafute na sim zake usipokee. Take your time.
Uone kama atajirud au lah.
Kama akijirud msamehe na shindilia misimamo yako kama Kiongozi. Na kama hatajirud bas jua umeoa mwanamke mwenye Gubu. Ndoa ndoana.
Haina budi mpeane nafasi.

4. Kama kuna vitu vya Kijinga unafanya (pengine kama unakunywa na baada ya Kulewa) au hautunzi familia au una umalaya bas uache. Na pia mtafute msimamizi wa ndoa yenu umwambie. Yeye atamsiliza mkeo pamoja na ww kisha atawashauri.
Maana hapa tumekusikiliza ww tu.
Au mkeo ni BICHWA KOMWE tumruhusu aongee na yeye?.
Mleta mada aishike hiyo namba 3.
 
Hujazaa nae anakusumbuaje sasa,wengi wanahangaika na ndoa kwasababu wana watoto sasa wew huna mtoto nae kinachokufanya uhangaike nae ni nini

Asante sana kwa ushauri kaka nashukuru na nimekuelewa wala hamna neno kabisaa.....Ni kweli nimeshauri hivyo pia vile vile kwa nini naangaika nae wakati sijazaa nae na hatuna mtoto...
 
Iwe ni chai au true story, hivi inakuaje kuaje hadi mkeo anakupiga??? Labda kama ni vile vimakofi vya kimahaba🥰
 
Mna ndoa nae. Ila hamna mtoto.
Mwanamke ana mtoto kabla ya ndoa na ww ukapata mtoto nje ya ndoa. (Na Sababu zako ulizotoa zinaeleweka).

1. Hii kukuita Idiots ww na Familia yako ni kwasababu inawezekana kuna vitu ving ww pamoja na familia mnafanya na ni vya kijinga. Kwahiyo yeye katoa yaliyo moyoni mwake.
Jifunze : usiseme mambo mabaya ya familia yako kwa mke wako (maana atakujumuisha na ww).
- hata mambo mabaya ya marafik zako kwa mke wako (maana atadhan na ww unafanya).
☝️☝️☝️Hii ni ushaur kwa wanandoa wote

2. Kushare passwords. Na kuchunguza simu ya mkeo/mumeo sio sawa na sio kigezo cha kwamba ndio mnapendana. (Hii mueleweshe, akikataa tumia kauli yako dhabiti kama Mwanaume. Kwan hujui mwanaume ana Say kubwa akikaza na mitazamo yake?, kwahiyo kaza kwenye hili).
☝️☝️☝️☝️ na hili pia.

3. Kupigana, kumwagiana bia, kukurushia chupa na maneno maneno wanaume hatunaga.
Hebu mpe action moja. Siku akikupandishia maneno na kukupa vurugu chapa vibao viwili vitatu, sepa home , usimtafute na sim zake usipokee. Take your time.
Uone kama atajirud au lah.
Kama akijirud msamehe na shindilia misimamo yako kama Kiongozi. Na kama hatajirud bas jua umeoa mwanamke mwenye Gubu. Ndoa ndoana.
Haina budi mpeane nafasi.

4. Kama kuna vitu vya Kijinga unafanya (pengine kama unakunywa na baada ya Kulewa) au hautunzi familia au una umalaya bas uache. Na pia mtafute msimamizi wa ndoa yenu umwambie. Yeye atamsiliza mkeo pamoja na ww kisha atawashauri.
Maana hapa tumekusikiliza ww tu.
Au mkeo ni BICHWA KOMWE tumruhusu aongee na yeye?.

Nashukuru sana tena sanaa kwa ushauri wako ndugu yangu ni ushauri mzuri sana umenipa ambao inabidi niufanyie kazi nashukuru sana ila kwa sehemu tunaishi kumpiga mwanamke akipiga simu police basi umepoteza kazi yako wanakuwa wanaweka kwenye record na yeye anaonekana anataka sana siku moja nimguse afanye hivyo ila nashukuru sana kwa kila kitu....
 
Mna ndoa nae. Ila hamna mtoto.
Mwanamke ana mtoto kabla ya ndoa na ww ukapata mtoto nje ya ndoa. (Na Sababu zako ulizotoa zinaeleweka).

1. Hii kukuita Idiots ww na Familia yako ni kwasababu inawezekana kuna vitu ving ww pamoja na familia mnafanya na ni vya kijinga. Kwahiyo yeye katoa yaliyo moyoni mwake.
Jifunze : usiseme mambo mabaya ya familia yako kwa mke wako (maana atakujumuisha na ww).
- hata mambo mabaya ya marafik zako kwa mke wako (maana atadhan na ww unafanya).
☝️☝️☝️Hii ni ushaur kwa wanandoa wote

2. Kushare passwords. Na kuchunguza simu ya mkeo/mumeo sio sawa na sio kigezo cha kwamba ndio mnapendana. (Hii mueleweshe, akikataa tumia kauli yako dhabiti kama Mwanaume. Kwan hujui mwanaume ana Say kubwa akikaza na mitazamo yake?, kwahiyo kaza kwenye hili).
☝️☝️☝️☝️ na hili pia.

3. Kupigana, kumwagiana bia, kukurushia chupa na maneno maneno wanaume hatunaga.
Hebu mpe action moja. Siku akikupandishia maneno na kukupa vurugu chapa vibao viwili vitatu, sepa home , usimtafute na sim zake usipokee. Take your time.
Uone kama atajirud au lah.
Kama akijirud msamehe na shindilia misimamo yako kama Kiongozi. Na kama hatajirud bas jua umeoa mwanamke mwenye Gubu. Ndoa ndoana.
Haina budi mpeane nafasi.

4. Kama kuna vitu vya Kijinga unafanya (pengine kama unakunywa na baada ya Kulewa) au hautunzi familia au una umalaya bas uache. Na pia mtafute msimamizi wa ndoa yenu umwambie. Yeye atamsiliza mkeo pamoja na ww kisha atawashauri.
Maana hapa tumekusikiliza ww tu.
Au mkeo ni BICHWA KOMWE tumruhusu aongee na yeye?.

Nashukuru sana tena sanaa kwa ushauri nitaufanyia kazi ndugu yangu wala usijali kabisaa kaka nimefurahi sana tena kwa huu ushauri mzuri asante sana kaka na wala hamna neno kabisaa
 
Heeeee kumbe kuna wanaume wanateswa hivyo yaani umerahisishiwa kabisaa hajakuzalia ingekuwa labda ni ngumu kwako kumuacha sasa mtu huna mtoto nae unajiuliza mara 3 chapa rapaa

Wanaume kumbe na nyie kuna mabwege nazi

🤣🤣😅😅😅Ni kweli kabisaa mkuu wala hujakosea kabisaaa upo sawa kabisaa na wala hamna neno hapo inabidi kupiga matokeo tu ndio kitu cha muhimu zaidi....
 
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.

Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje.

Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka. Sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha. Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisa

Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto.

Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.

Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sana damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja, ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto.

Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na kuwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...

Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.

Naombeni ushauri wenu tafadhali kwa hili suala.

Je, bora niondoke?

Andaa jeneza lako tuje kukuzika kama hutaki kuondoka, Umelogwa, rudi kwenu Huko kakae na Wazee wako au kama ni muumini mzuri omba Mungu.
 
Ni aidha huyo mwanamke anakulea au anayoyasema ni ukweli mtupu, inashangaza sana licha ya yote hayo bado akili yako haijafunguka kujua ufanye uamuzi gani.

Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu asante sanaaa.....Na pia mwanamke hanilei ila zaidi mimi nina kipato kumzidi yeye....Nimeshajuwa uwamuzi wa kufanya wala hamna neno kabisaa....
 
Kaka wewe kweli ni IDIOT, IMBECILE, STUPID MORON.

The fact kwamba umevumilia disrespect kubwa kiasi hiko kutoka kwa huyo mwanamke na huyo ex wake inaprove wewe ni idiot.

Na kwa sababu umevumilia hayo kwa miaka muongo mzima, basi huenda wewe ndiyo umeolewa na huyo mwanamke.

Mwanamke kukuinsult, kukumwagia juice, kukulazimisha eti mshee password na wewe upo upo tu huna say huo kama siyo uzwazwa ni nini sasa!

Formula ni mwanamke ukimuoa na akashindwa kushika mimba ndani ya miaka miwili chapa lapa kazae nje ili ujue shida iko wapi. Ukizalisha basi mchane wazi kwamba una mwanamke mwingine anayekuzalia nje na utampa heshima zote za mke wako, ila yeye hautamuacha. Kama ataamua kuchapa lapa yeye sawa, ila wewe utakuwa umemchana uhalisia!

Unajuwa nimevumilia mateso mengi sanaaa na nikawa nawaza sana pengine ni aibu kwa familia ila moyoni kuna maumivu makali sanaaa tena sio kidogo kwa kweli na nadhanu nimefikia mahali kwa sasa
Kaka wewe kweli ni IDIOT, IMBECILE, STUPID MORON.

The fact kwamba umevumilia disrespect kubwa kiasi hiko kutoka kwa huyo mwanamke na huyo ex wake inaprove wewe ni idiot.

Na kwa sababu umevumilia hayo kwa miaka muongo mzima, basi huenda wewe ndiyo umeolewa na huyo mwanamke.

Mwanamke kukuinsult, kukumwagia juice, kukulazimisha eti mshee password na wewe upo upo tu huna say huo kama siyo uzwazwa ni nini sasa!

Formula ni mwanamke ukimuoa na akashindwa kushika mimba ndani ya miaka miwili chapa lapa kazae nje ili ujue shida iko wapi. Ukizalisha basi mchane wazi kwamba una mwanamke mwingine anayekuzalia nje na utampa heshima zote za mke wako, ila yeye hautamuacha. Kama ataamua kuchapa lapa yeye sawa, ila wewe utakuwa umemchana uhalisia!

Asante sana mkuu kwa ushauri wako nashukuru sana ndugu yangu...
 
Watu walioachana na wamezaa kiuhalisia huwa hawajaachana hizo ni likizo tu muda wowote kinaweza kuwaka, cha kukushauri kwa kuwa umeshapata mwingine na amekuzalia kajenge familia naye siyo kuendelea kupoteza muda na mwanamke asiye na uwezo wa kukuzalia na wala huna hata mtoto kwake.

Asante sana kaka kwa ushauri mzuri nashukuru sana tena sana na nimekuelewa vizuri kabisaa nitaufanyia kazi huu ushauri wako wala hamna neno kabisaaa....
 
Back
Top Bottom