Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
- Thread starter
- #161
Huyo mwanamke hana hata makosa, makosa unayo wewe.
Hell is for devil na weak gents.
Ulitakiwa uanze kujiuliza kama aliyezaa nae alishindwa kumuoa, je, wewe ni nani mpaka ujitwike msalaba?
(Tufanye mapenzi upofu. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa)
Unakula makofi bado upo tu.
(Tufanye kofi la mpenzi haliumi)
Unatukaniwa mpaka wazazi wako na mnaitwa idiot.
(Tufanye tusi la kiingereza haliumi)
Kimsingi hukuwa tayari kuoa na hujawa tayari.
Asante sana ndugu yangu na nashukuru sana na nimepokea ushauri wako wala hamna neno kabisaaa....