Huna mke apo.kikao Cha mwisho tulisemaje kuhusu single mama..?Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje.
Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka. Sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha. Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto.
Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sana damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja, ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto.
Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na kuwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.
Naombeni ushauri wenu tafadhali kwa hili suala.
Je, bora niondoke?
Asipokuelewa hapa basi kweli akili yake ipimweHauna AKILI. Achana na huyo mke wa mtu tafuta wa kwako
Kaka anza taratibu ku invest kwako, tunza hela, jiweke mbali nae kihisia, na mtoe moyoni, kwa kifupi achana nae kimahesabu, sio kwa pupa, hakikisha uko tayari kiakili na kihisia unapomuacha, hapo ndo wanawake wanatuzidi mbinu, ruka huo mtego, otherwise, utapata presha na sukari.. labda na stroke, utakufa.Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje.
Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka. Sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha. Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto.
Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sana damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja, ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto.
Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na kuwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.
Naombeni ushauri wenu tafadhali kwa hili suala.
Je, bora niondoke?
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa wewe
Mwache arudi kwa Mzazi mwenzie wakalee mtoto wao
Kunguru hafugiki kamwe
Tangu JF inaanzishwa kauli mbiu ya usioe single mother imesisitizwa sana humu jukwaani kwa wanaume.Mkuu,
Hatuoi single mother mkuu!
Kwanininulioa!!?
Ulioa mke wa mtu!
Mkuu ni mke wangu ambaye tumeowana na kufunga ndoa ila nilimkuta wameachana na jamaa ndio maana...
Pole ndugu. Kuoa single mother sio kosa. Pengine hukuchukua muda wa kutosha kumchunguza tabia.
Pia inabidi urudi kwa jamaa kumuuliza ilikuwaje wakaachana. Mfanye awe rafiki. Pili mhoji kwa nini alisema hutamzalisha huyo mwanamke.
Naye mwanamke kitendo cha kukudharau ni kuficha madhaifu yake, ambapo kwa namna moja uliruhusu huo udhaifu hadi ikawa mazoea kwake. Sio sahihi kutukaniwa wazazi.
Unampenda? Unaona mbeleni kuna future? Tayari mna watoto, na bado mkiamua mnaeeza kupata wa kwenu.
Kikubwa mmeruhusu mahusiano (sijui kama mmefunga ndoa) kuingiliwa na watu wengine. Hili nalo la kutazama sana. Hamtaweza kuwaepuka bali mtaweza kuwadhibiti.
Ukimwangalia ana mapenzi nawe japo ana dharau? Pengine dharau inatokana ns masuala ya kipato.
Muhimu kwenye ndoa yako uwe mwelewa. Usiwe emotional. Usiwe reactive. Usiwe too rational. Kuwa muelewa. Muelewe na mengine yatajisumbukia