TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,212
- 13,054
utaratibu jamaa anadai taa huwa inazmwa sasa akashangaa kastuka usngizn taa inawaka akaamka akaizma baada ya mda mkewe nae kaamka kaizma,jamaa akamuulza mkewe mbona taa iwake usku leo hakupewa jbu akaamka tena akazma mkewe nae tena akaamka akawasha jamaa hasira zkamjaa akachomoa tubelight akaipasua ndo kaz ikaanza mkewe yeye kavunja lcd nchi 30,radio nk.
Yaani mke anavunja vitu Jamaa anamuangalia tu?
Kwanza hiyo ya mume kuzima taa yeye anaenda kuwasha pekee ingetosha kumtoa tunundu tuchache na mkwara mzito juu......