Ndoa jamani

madiya85

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
282
195
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
 
Mar 19, 2008
98
0
Mijanamke mingi ya siku hizi haioleki, na ukijilazimisha kuoa matokeo yake ndio haya.

Wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika.........
Mwanamke kuleta kibesi kwangu eti naye ana EGO, pambaf .
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
kufikia tu kuzima na huyu anawasha kunaonesha zengwe kubwa ktk hyo ndoa. Tupe maelezo ya kutosha tangu hapo kabla ya taa
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
Mijanamke mingi ya siku hizi haioleki, na ukijilazimisha kuoa matokeo yake ndio haya.

Wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika.........
Mwanamke kuleta kibesi kwangu eti naye ana EGO, pambaf .
ungesikia na upande wa pili wa story ndio ungekuwa na haki ya kujudge, vinginevyo ni ubatili tu...
 
madiya85

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
282
195
jamani mi huyu jamaa ni rafiki yangu na huyo mkewe tumesoma nae ni ana kiburi balaa hamuwezi amini hapatani hata na mama ake mzazi, bt jamaa alimpenda akamstiri sana hata kama kuna tatizo ndipo mtu avunje taa hapa mtaani kila mtu anachukizwa na tabia ya huyo mwanamke,pia anajisikia sana mpaka kuna siku alimwandikia mmewe sms akimwambia naye anajiona mwanaume,mara --------,mpuuzi jamaa sku ananionesha sms hzo alikuwa hana amani maana hajui tatizo ni nini?
 
Mshakaji mvumilivu mi huwa nafukuza tu. Mimi ntaendelea kuwaacha mpaka nipate mwenye nia ya kutulia na kuheshimu ndoa.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
jamani mi huyu jamaa ni rafiki yangu na huyo mkewe tumesoma nae ni ana kiburi balaa hamuwezi amini hapatani hata na mama ake mzazi, bt jamaa alimpenda akamstiri sana hata kama kuna tatizo ndipo mtu avunje taa hapa mtaani kila mtu anachukizwa na tabia ya huyo mwanamke,pia anajisikia sana mpaka kuna siku alimwandikia mmewe sms akimwambia naye anajiona mwanaume,mara --------,mpuuzi jamaa sku ananionesha sms hzo alikuwa hana amani maana hajui tatizo ni nini?
mmh huyo jamaa ni ww mwenyewe au mbona wamsemea hivyo? achana na mapenzi ya wawili ndugu, wakipatana utajaumbuka bure
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,450
2,000
mmh huyo jamaa ni ww mwenyewe au mbona wamsemea hivyo? achana na mapenzi ya wawili ndugu, wakipatana utajaumbuka bure

Mmmh!!! mbona wewe kwa Mkurya ulishindwa kufanya hayo uloandika?
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,560
2,000
hiyo ya kuwasha taa na kuzima ni kama kisingizio tu cha huyo mama kuondoka.inaonyesha kuna mengi zaidi ya hayo,huwezi mtu kuondoka kwako kisa cha taa tu.mmmh mambo ya ndoa hayo kila mtu na principle zake.wenyewe wanajuana
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
hivi hawa watakuwa wanapendana kweli???

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
hivi hawa watakuwa wanapendana kweli???
aah sijui bana, si unajua tumeletewa story ya upande mmoja, mtoa mada anatupa impression ya kwamba mdada ndio monster, ni ngumu ku judge coz mtoa mada mwenyewe kashachagua upande.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
hiyo ya kuwasha taa na kuzima ni kama kisingizio tu cha huyo mama kuondoka.inaonyesha kuna mengi zaidi ya hayo,huwezi mtu kuondoka kwako kisa cha taa tu.mmmh mambo ya ndoa hayo kila mtu na principle zake.wenyewe wanajuana
kweli kabisa, kuna mengi nyuma ya pazia ambayo labda hata huyu rafiki mtu hayajui.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom