Ndoa jamani

hayo ni makubwa naona huyo mdada amekumbwa na shetani mvunja ndoa
au kuna mtu uko nje keshamdanganya maana ni ajabu na inashangaza sana
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
 
Mmmmh umemsifia bure tu eti mume mpole...kwa jinsi huyo mume alivyoreact hana upole wowote nae mkorofi tu,labla uniambie ni mkimya.
 
Eeeh huyo jamaa nae kazidi uboya unajua smtyms wanawake nasi tunapenda kujaribu wat tuone watafanyaje...tia kipigo ambacho hatokisahau maishan mwake akianza kulialia kamata kwa nguvu weka kifuani kwikwi zikiendelea tia dushelele kaza kiuno kwel kweli kesho ukirud kazini mletee zawad anayoipenda yatakuwa yameisha... Cku nyingine akianza ngebe zake akikumbuka tuu kile kipigo mjarabaa lazma atulie
 
Hahaahaaaaaaaa! hakika hi ndo tiba ya kweli.
 
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?
Shida ilikuwa kuzima taa na kuwasha au kuna mengine umeficha? hebu weka yote bwana haiwezekani hiyo ikawa sababu ya mwanamama kuondoka,kwanini huyo mwanamke alikuwa anataka taa iwe on wakati ni muda wa kulala?
 
Nashauri uoe ujue ndoa sio ndoa za wenzio midomo juu wakati hata huijui.
 
shida ilikuwa kuzima taa na kuwasha au kuna mengine umeficha? Hebu weka yote bwana haiwezekani hiyo ikawa sababu ya mwanamama kuondoka,kwanini huyo mwanamke alikuwa anataka taa iwe on wakati ni muda wa kulala?

utaratibu jamaa anadai taa huwa inazmwa sasa akashangaa kastuka usngizn taa inawaka akaamka akaizma baada ya mda mkewe nae kaamka kaizma,jamaa akamuulza mkewe mbona taa iwake usku leo hakupewa jbu akaamka tena akazma mkewe nae tena akaamka akawasha jamaa hasira zkamjaa akachomoa tubelight akaipasua ndo kaz ikaanza mkewe yeye kavunja lcd nchi 30,radio nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom