Ndoa jamani

The secret of a happy marriage remains a secret

Bahati mbaya siwezi like kupitia hii kimeo ila ulichoandika ni kweli sana. Halafu hata hao wachache walioweza hawana uwezo wakuwapa hio siri wengine. Hehe. Mimi hata sijihangaishi kufwatilia wala kushauri! Hamnaga logic.
 
Natamani hiyo kesi niinunue, yaani ujichange siku kibao na kununua vitu halafu mtu avivunje ndani ya muda mfupi, hata kama nimemfanyia kosa gani lazima heshima iwepo.
 
Hivi hapa kuna igomvi au maigizo....

Ugomvi wa kuzima na kuwasha taa???? hao wanandoa wana mapenzi ya kihindi...teh teh teh


Na wanasimulia watu kabisa; eti tumegombana; mmegombania nini? taa

Kwa kuwa watu walisha kariri kwenye ndoa kuna ugomvi basi wanautafuta hata kwa kulazimisha (kuforce)



usiogope bana, kuna wanaofurahia maisha ya ndoa sana tu. cc nyumba kubwa.
 
jamani mi huyu jamaa ni rafiki yangu na huyo mkewe tumesoma nae ni ana kiburi balaa hamuwezi amini hapatani hata na mama ake mzazi, bt jamaa alimpenda akamstiri sana hata kama kuna tatizo ndipo mtu avunje taa hapa mtaani kila mtu anachukizwa na tabia ya huyo mwanamke,pia anajisikia sana mpaka kuna siku alimwandikia mmewe sms akimwambia naye anajiona mwanaume,mara --------,mpuuzi jamaa sku ananionesha sms hzo alikuwa hana amani maana hajui tatizo ni nini?
Hamweki dushe sawasawa au ana kidumu
 
hii ni kweli si hekaya za abunuwasi, kuna jamaa anaishi na mkewe yaani huyu mwanamke anamdharau sana jamaa ukizingatia jamaa yuko vizuri namaanisha ana elimu nzuri,ana kazi pia, mkewe nae amesoma pia ana kazi, jamaa kaokoka pia ni mpole sana sasa jumapili mkewe kafanya fujo sana usku kavunja vitu vya ndani kama tv lcd,radio nk kisa cha kijinga eti mda wa kulala umefka jamaa kazima taa mkewe kwa kisirani kaamka kawasha,jamaa kazma tena pia mkewe kaamka kawasha kilichofuata jamaa kachomoa taa kaiweka chini namaanisha tubelight hapo ndipo mkewe kaanza vunja vitu ndani, asubuhi jmatatu jamaa kaamka kaenda kazini karudi jioni kakuta mkewe kaondoka na mtoto hajarudi mpaka leo,msimamo wa jamaa kasema hamtafuti wala ahangaiki naye akitaka arudi au aende jumla,zaidi jamaa katoa angalizo mtoto wake asirudi ana kasoro kwani bado mdogo ana miezi 6 tu. JAMANI KINA MAMA TULIENI KWENYE NDOA ZENU, wadau mnashauri nini?

biblia inasema kila kitu kifanywe kwa kiasi!

upole, kwa kiasi!

ukali, kwa kiasi!

sasa huyu jamaa amekuwa mpole kiasi kwamba anaweza kuingiziwa kidole jichoni bila reaction yoyote!

mwanaume kuwa mpole sana ndani ya nyumba, NI UDHAIFU MKUBWA!!
 
Shetani kaanzia kwa mwanamke na atakuwa hayuko sawasawa ukizingatia mme kuokoka ni tatizo sana kwa shetani kwahiyo anajaribu kila lililopo kuondoa uwepo wa roho wa kweli kwenye hiyo ndoa,mwanamke kawa chambo ila jamaa anatakiwa kuomba sana kwani hakipo kinachoyashinda maombi ...aende akaombewe ndoa yake pepo la mama litamwachia la sivyo shetani kaanza na Eva kama ilivyo ada.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom