Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,171
aiseeChangamoto ni kubwa zaidi unapo oa goli kipa... Ila kama umeoa mwanamke anayeleta, wewe ukileta maisha huwa ni Kitonga!
aiseeChangamoto ni kubwa zaidi unapo oa goli kipa... Ila kama umeoa mwanamke anayeleta, wewe ukileta maisha huwa ni Kitonga!
yap inategemea na mwanamke utakayempataInategemeana mkuu!
Na mwanaume pia utakayempatayap inategemea na mwanamke utakayempata
Kabisa...Hili liko wazi halipingiki, kuoa pia kunaleta ukomavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si unaendelea kula tunda kimasihara au ushaoa?
Hahaha unamanisha nini chief?ama kweli mabosi wako walikuoa
Hapana hapo unakuw aumefanya ubinafsi. Kawaida unapojaliwa kupata pesa na unapoamua kutoa zawadi unaanza kutoa kwa wazazi wako kwanza lakini husahau kwa upande wa pili. Wote ni muhimu ni nyenzo za ww kufika hapo ulipo. BMkioa mnahudumia upande wa mke tu utafkr mnaoa mpaka familia nzma ya mwanamke mkiona mko katka hali hyo ujue ushatekwa na mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma gani wewe wa hovyo namna hii..?
kuna sehemu katika paragraph ya kwanza umesema mabosi wako walikuoaHahaha unamanisha nini chief?
Sisi Majobless Kuoa tutakusikia kwenye Bomba
Tuliooa tunapendwa mno sijui kwa nini. Yaani Mtu anajua kabisa una mke lakininakwambia eti nakupenda siwezi kukuuacha kamwe. Unajiuliza huyu vipi? Kumbe wanaangali vile tunavyotunza familia zetu wanatupa credits
Madame Mwajumaaaaaa..... mimi nilioa Housewife kabla ya kuoa nilikuwa na kilo 67 ndani ya mwaka nikafika 78 nikaanza kupiga na Gym, nilikuwa nimechoka sana hata ukiniangalia usoni unaona kabisa huyo broo kachoka. Baada ya kuoa nikawa full handsome. Nilikuwa nafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana ambao sijawahi kuwa nao. Mabosi wangu walinielewa kwa utendaji kazi wangu wakanioa na cheo na mshahara ukawa double. Wafanya kazi wenzangu maofisini kila mara walinishangaa utendaji wangu. Wengine walidhani labda natumia Ndumba. Nilikuwa nang'aa kupita maelezo kuanzia mavazi unywele hadi unyayo. Kiufupi nikawa mtanashati. Mafisi( mademu wasangaji) wakaanza kunivizia kila mara ofsini na mitaani ilikuwa gumzo. Mafanikio yakaja haraka sana kuanzia kipato, kijamii, na kiprofessional.
Nilianza kufurahia maisha kuliko mwanzo. Mke wangu hakutaka kusikia H/girl ndani ya nyumba yake kwa kuwa nikuongeza gharama za bure wakati yeye ni H/wife.
Nilimpenda mke wangu kwa uchapakazi na mahaba aliyokuwa ananipa maana yameniletea mafanikio makubwa.
Wengi hawaelewi nilimpata vipi. Vijana wenzangu wakija kwangu wananiuliza eti vipi ulipataje Zali hivi ukapata mke huyu. Nikawambia sina fomula ni bahati tu. Lakini usije ukaoa na wew h/wife ukadhani ndio utafanikiwa , oa yeyote mwenye mapenzi mema utafurahia uumbaji wa Mungu duniano. Hapo sijataja neno lolote kuhusu mambo yaleeeeeee ya akina Madam Mwajuma.
Mkuu, tambua kuoa kunakutofautisha wewe kutoka kwenye uvulana na kuwa mwanaume.
unaweza usijipange na mambo yakaenda tu.ndoa nyingi tu unakuta familia ina kipato cha chini,watoto 5,mama anapika vitumbua baba anauza maji na maisha yanaenda wanaishi happy life