Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

Ndio maana wadada wengi siku hizi wanatupenda sana sisi vijana wenye pete. Wanajua kabisa kwamba sisi ni watu makini, tuna vifua na tuna uwezo wa kupambana na maisha!!😉

Mimi siku zote hua nasema: Ukijiona una hela.. yaani kila ukienda benki unakuta salio kwenye account, hela ya matumizi, starehe nk haikupigi chenga.. basi ujue bado hujaanza kufanya mambo ya maana! Pindi utapoanza kufanya mambo makubwa kama kuoa, kujenga, kuwekeza nk utashangaa huoni tena senti tano kwn account.
Point kabisa hii. Vijana bwana akiona ama geto ana Redio, Tv, kochi viti viwili na kitanda kizuri na taa za mwanga wa rangi na pazia anajiona ana pesa. Basi kila hela anayppata anahonga, kunywa pombe na umalaya. Hapo anaona pesa ipo. Akioa anaanza kukonda na kulalamika kila siku maisha magumu.
 
Tuliooa tunapendwa mno sijui kwa nini. Yaani Mtu anajua kabisa una mke lakininakwambia eti nakupenda siwezi kukuuacha kamwe. Unajiuliza huyu vipi? Kumbe wanaangali vile tunavyotunza familia zetu wanatupa credits
 
Mkuu umenikumbusha na kunifanya niwaze mbali sanaaaa.
Sema ww ulio anza kuy experience baada ya kuoa, mm nilianza kuya experience wakat naingia mwaka wa kwqnza chuoni.
Nimekula mkopo 100% ila utafikir sina mkopo.
Kwakifupi chuo nikaishi maisha magum sana cz nilifanya mistake ya kumpa mimba girlfrimd wangu halaf nikaamua kuwa responsible for it.
Mm niko chuo yy yuko chuo mkoan na kapata mkopo 50%.kwao walokole wakampiga chin baada ya kupata mimba so ikawa inabid some costs niwe responsible kwake.Na kwa kwa mtoto baada ya kujifungua.baada ya kuzaa hatakiwi kukaa hostel inabud apande mtaan..ahahahah..hatar.Mpaka namaliza 3rd year nilikua nshazoea ugum wa maisha.
Na ugum huo huo ndio nikaanza maisha ya kujitegemea.
2 years later baada ya chuo nikamuoa na kuanza vibarua na yy akaanza kibarua basi maisha yakaanza kuwa nafuu.

Masuala ya utanashati ahahahha..unayaweka kando bila kupenda una stick kwenye being just smart.

PAMBANA MKUU.THERE IS ALWAYS A LIGHT AT THE END OF THE TUNNEL

NB
it needS a great courage to be a fully responsible father and take care of a family kama kipato chako ni cha kawaida
 
Ndio maana wadada wengi siku hizi wanatupenda sana sisi vijana wenye pete. Wanajua kabisa kwamba sisi ni watu makini, tuna vifua na tuna uwezo wa kupambana na maisha!!😉

Mimi siku zote hua nasema: Ukijiona una hela.. yaani kila ukienda benki unakuta salio kwenye account, hela ya matumizi, starehe nk haikupigi chenga.. basi ujue bado hujaanza kufanya mambo ya maana! Pindi utapoanza kufanya mambo makubwa kama kuoa, kujenga, kuwekeza nk utashangaa huoni tena senti tano kwn account.
Ahahahahahhah.
Mkuu unazid kunitafakarisha sanaa.

Ila mm miezi mi 5 baada ya ndoa nilamkabidhi wife pete.Mm nilishindwa kabisaa kuvaa pete honestly...
Ahahaha
 
Point kabisa hii. Vijana bwana akiona ama geto ana Redio, Tv, kochi viti viwili na kitanda kizuri na taa za mwanga wa rangi na pazia anajiona ana pesa. Basi kila hela anayppata anahonga, kunywa pombe na umalaya. Hapo anaona pesa ipo. Akioa anaanza kukonda na kulalamika kila siku maisha magumu.

Mi mwenyewe kabla ya kuoa aisee nilikua na hela balaa..😀😀 Hapo nimepanga ka chumba na sebule, ka sofa ka kishkaji, ka tv flat, sabufa na kale ka friji kadogo.. Aaah mzee baba maisha sindio hayoo?😆😆😆 Kipindi icho eti unashangaa mishahara inakutana kwenye account.. Kila weekend ni mwendo wa bata na kujirusha!!

Sasa ivi kuna wakati unakuta account inaning'inia hela ya kitabu tu dadeeek lakini ukiangalia vitu unavyofanya huko nje vinaonekana, familia inaishi fresh, watoto wanasoma, heshima mtaani kiaina nk basi inazidi kukutia moyo kupambana. Viwanja vingi vya starehe hata milango hatukumbuki imegeukia upande gani..😀
Narudia: UKIONA ACCOUNT YAKO INA HELA MDA WOTE, HUJAANZA KUFANYA MAMBO YA MAANA!!
 
Mkuu umenikumbusha na kunifanya niwaze mbali sanaaaa.
Sema ww ulio anza kuy experience baada ya kuoa, mm nilianza kuya experience wakat naingia mwaka wa kwqnza chuoni.
Nimekula mkopo 100% ila utafikir sina mkopo.
Kwakifupi chuo nikaishi maisha magum sana cz nilifanya mistake ya kumpa mimba girlfrimd wangu halaf nikaamua kuwa responsible for it.
Mm niko chuo yy yuko chuo mkoan na kapata mkopo 50%.kwao walokole wakampiga chin baada ya kupata mimba so ikawa inabid some costs niwe responsible kwake.Na kwa kwa mtoto baada ya kujifungua.baada ya kuzaa hatakiwi kukaa hostel inabud apande mtaan..ahahahah..hatar.Mpaka namaliza 3rd year nilikua nshazoea ugum wa maisha.
Na ugum huo huo ndio nikaanza maisha ya kujitegemea.
2 years later baada ya chuo nikamuoa na kuanza vibarua na yy akaanza kibarua basi maisha yakaanza kuwa nafuu.

Masuala ya utanashati ahahahha..unayaweka kando bila kupenda una stick kwenye being just smart.

PAMBANA MKUU.THERE IS ALWAYS A LIGHT AT THE END OF THE TUNNEL

NB
it needS a great courage to be a fully responsible father and take care of a family kama kipato chako ni cha kawaida
Good
 
Mi mwenyewe kabla ya kuoa aisee nilikua na hela balaa..😀😀 Hapo nimepanga ka chumba na sebule, ka sofa ka kishkaji, ka tv flat, sabufa na kale ka friji kadogo.. Aaah mzee baba maisha sindio hayoo?😆😆😆 Kipindi icho eti unashangaa mishahara inakutana kwenye account.. Kila weekend ni mwendo wa bata na kujirusha!!

Sasa ivi kuna wakati unakuta account inaning'inia hela ya kitabu tu dadeeek lakini ukiangalia vitu unavyofanya huko nje vinaonekana, familia inaishi fresh, watoto wanasoma, heshima mtaani kiaina nk basi inazidi kukutia moyo kupambana. Viwanja vingi vya starehe hata milango hatukumbuki imegeukia upande gani..😀
Narudia: UKIONA ACCOUNT YAKO INA HELA MDA WOTE, HUJAANZA KUFANYA MAMBO YA MAANA!!
Hahaha kumbe na wewe ulikuwa kwenye kundi hilo??
Afadhali umekubali kubadilika ujemge maisha halisi na maisha bora.

Unajisikiaje pesa ulizopoteza huko kwenye bata??
 
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga! Maisha ya ndoa sio lele mama, pale unapofikia uamuzi wa kuoa ina maana uko tayari kupokea majukumu na kukabiliana na changamoto za mbeleni.
Pole na hongera.
 
Kumdekeza mwanamke ndio kunafanya gharama za maisha ziongezeke! Huyo dada wa kazi nyumbani wa nini? Mnafuga nguruwe?

Sent using IPhone X
 
Nilipooa ndipo nikagundua kipato changu hakitoshi.

Kuoa kuna hitaji kujipanga sana, baada ya kuoa maisha yangu kiuchumi yalibadilika sana, kuna mambo yalikuwa yanaenda poa coz nipo single, nikaoa mambo yakabadilika kodi ya nyumba kutoka double hadi kwenye apartment, mdada wa kazi, bajeti ya chakula si mtu mmoja tena bali familia.

Nliumia kwa mwaka hadi kuanza kuhangaika nje ya kipato changu cha kawaida, utanashati wangu uliisha kabisa, kununua nguo kila leo kukaisha, nikajifunza kuwekeza, kusave na kuishi kama mtu mzima.

Tuwaheshimu sana wanaume wanaomudu familia zao, tuwapongeze wazazi kwa kutulea, usimlaumu aliyeshindwa mambo si mepesi, wanaume tupambane sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana ulikua hujui hilo ama?.
 
Hahaha kumbe na wewe ulikuwa kwenye kundi hilo??
Afadhali umekubali kubadilika ujemge maisha halisi na maisha bora.

Unajisikiaje pesa ulizopoteza huko kwenye bata??
Mkioa mnahudumia upande wa mke tu utafkr mnaoa mpaka familia nzma ya mwanamke mkiona mko katka hali hyo ujue ushatekwa na mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumdekeza mwanamke ndio kunafanya gharama za maisha ziongezeke!huyo dada Wa kazi nyumbani wa nini!mnafuga nguruwe?

Sent using IPhone X
Siku hizi watu wakioa wanadekeza wanawake sanaa mpaka wanawapanda kichwani na life wanaona linakua gumu,kumbe ni ujinga wao kumdekeza mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa Kwa ndoa za watu wa pwani kila wiki umnunulie dela na pesa za kutunza vuta picha gharama za kumtunza inakuaje ndo napata picha ndomana wanaongoza kuachana wengi wanashindwa kuwamudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom