Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

Siku hizi watu wakioa wanadekeza wanawake sanaa mpaka wanawapanda kichwani na life wanaona linakua gumu,kumbe ni ujinga wao kumdekeza mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwani wewe umeoa? Maana umeandika hizi mambo unaonyesha hujaoa na huna mpango wa kuoa kabisa

Nakushauri fanya uoe mkuu na ukioa utaona huu utumbo uliouandika hauna maana

Hivi wewe kwa akili yako unaweza kuishi na mwanamke bila kumdekeza?

Msukuma gani wewe wa hovyo namna hii..?
 
Mnatutisha.. wengine ni ma jobless tupo kitaa tuu, umri unaenda.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alitafuta mke slay queen.
Wanawake waliofanana na Baba zao ndio wanajua kupambania maisha, ukimuachia buku 2 unakuta rosti ya dagaa zenye bamia na ngogwe, afu na juice ya mapera!
Wenzako wakioa wakachanganya akili za wawili wanang'ara+vitambi wewe unachuchuka? Pole kwa kubeba mzigo wazazi wake wapumue.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha,mdau kasema kwamba ukioa wazazi watakusaidia kulea familia.

Ila wewe jamaa una mzaha sana na maisha.
Kwanini mkuu

Kuna jamaa yangu ameoa lakini familia yake na yeye wanakula kwa mama yake (mama wa mume)
 
Back
Top Bottom