Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,171
kama ni hivyo basi ndoa za masikini zina shida na matatizo ila za matajiri shwarii kabisa au sio[emoji16]Hakuna maisha ya furaha kwny umaskini,tunajipaga moyo tu.
kama ni hivyo basi ndoa za masikini zina shida na matatizo ila za matajiri shwarii kabisa au sio[emoji16]Hakuna maisha ya furaha kwny umaskini,tunajipaga moyo tu.
kama ni hivyo basi ndoa za masikini zina shida na matatizo ila za matajiri shwarii kabisa au sio[emoji16]
Wewe si unaendelea kula tunda kimasihara au ushaoa?
Hujui tu umeniinspire vipi ndugu yangu.....ni kweli kaka si kila ndoa ni changamotoMadame Mwajumaaaaaa..... mimi nilioa Housewife kabla ya kuoa nilikuwa na kilo 67 ndani ya mwaka nikafika 78 nikaanza kupiga na Gym, nilikuwa nimechoka sana hata ukiniangalia usoni unaona kabisa huyo broo kachoka. Baada ya kuoa nikawa full handsome. Nilikuwa nafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana ambao sijawahi kuwa nao. Mabosi wangu walinielewa kwa utendaji kazi wangu wakanioa na cheo na mshahara ukawa double. Wafanya kazi wenzangu maofisini kila mara walinishangaa utendaji wangu. Wengine walidhani labda natumia Ndumba. Nilikuwa nang'aa kupita maelezo kuanzia mavazi unywele hadi unyayo. Kiufupi nikawa mtanashati. Mafisi( mademu wasangaji) wakaanza kunivizia kila mara ofsini na mitaani ilikuwa gumzo. Mafanikio yakaja haraka sana kuanzia kipato, kijamii, na kiprofessional.
Nilianza kufurahia maisha kuliko mwanzo. Mke wangu hakutaka kusikia H/girl ndani ya nyumba yake kwa kuwa nikuongeza gharama za bure wakati yeye ni H/wife.
Nilimpenda mke wangu kwa uchapakazi na mahaba aliyokuwa ananipa maana yameniletea mafanikio makubwa.
Wengi hawaelewi nilimpata vipi. Vijana wenzangu wakija kwangu wananiuliza eti vipi ulipataje Zali hivi ukapata mke huyu. Nikawambia sina fomula ni bahati tu. Lakini usije ukaoa na wew h/wife ukadhani ndio utafanikiwa , oa yeyote mwenye mapenzi mema utafurahia uumbaji wa Mungu duniano. Hapo sijataja neno lolote kuhusu mambo yaleeeeeee ya akina Madam Mwajuma.
Kweli Nelly G tunazo nafasi kubwa za kuwa na ndoa zenye baraka na mahaba tele. Tuzitumie fursa tulizopewa na Mungu.Hujui tu umeniinspire vipi ndugu yangu.....ni kweli kaka si kila ndoa ni changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli naungana na wewe, ikiwa bado mko wawili tu unless kuna factors zingine labda mnaishi na mzazi ambaye ni mzee sana hajiwezi hakuna ulazima wa kuwa na H/ girl nyumbani ni kuongeza matumizi bila sababu. Wengi wanaishia kuwadhulmu watumishi wa ndani au kuwapiga kalenda kwenye malipo. Awali unaweza kudhani ni rahisi kumlipa hizo elfu 50 kila mwezi lakini ziki accummulate zinakuwa nyingi.Hahaha, kwa hiyo ulivyooa tu ukaweka na "house girl". Kama ndivyo basi jitathmini, utakuwa una matumizi mengine zaidi yasiyo ya lazima. Mfano wangu, hatukuwahi kufikiria kuwa na "house girl" hadi tulipopata mtoto wa pili, sembuse wewe na mkeo tu. Mkiishi maisha yenu, ndoa si ghali kama ulivyosema.
Mkuu duniani tuna waty zaidi ya bilioni 7, wenye uwezo kama unaosema hawsfiki bilioni 2, sasa kama wanaidshi bila furaha kutokana na maisha duni sijui wafanyeje na unawashauri nini. Duniani sio mbinguni kwamba nyote mtakuwa na viwango sawa vya maisha. So lazima ujipe raha mwenyewe. Ukiwa wealthy obssession ndio hapo unakosa raha.Unakuaje na furaha wkt watoto wanasoma shule za hovyo hovyo/hawasomi kabisa,makazi mabovu,matibabu bora hakuna ,unadharaulika kila sehemu etc
Ila sishangai sana maana bongo tuma kamsemo ketu ka kujifariji eti heri ule Ugali na bamia ulale zako kuliko kulala kwny li ghorofa ukiwa na stress
kama ni hivyo ndoa za matajiri zisingekuwa zinavunjikaUnakuaje na furaha wkt watoto wanasoma shule za hovyo hovyo/hawasomi kabisa,makazi mabovu,matibabu bora hakuna ,unadharaulika kila sehemu etc
Ila sishangai sana maana bongo tuma kamsemo ketu ka kujifariji eti heri ule Ugali na bamia ulale zako kuliko kulala kwny li ghorofa ukiwa na stress
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji115]Hivi mkuu kwanini mlio oa ,mnawasikiliza sanaa wake zenu????yaan mmeshkwa masikio mpaka basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa humu jaman mna nn lkn??? Et mnafuga nguruwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]Kumdekeza mwanamke ndio kunafanya gharama za maisha ziongezeke! Huyo dada wa kazi nyumbani wa nini? Mnafuga nguruwe?
Sent using IPhone X
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuoa kumenifanya nimekuwa masikini wa kutupwa
Kijjn ndo maisha yao, unaoa ukiwa kwa wazee, basi maisha simpleKwanini mkuu
Kuna jamaa yangu ameoa lakini familia yake na yeye wanakula kwa mama yake (mama wa mume)
Umeshaambiwa na wadau kuwa mzigo wa familia Ni jukumu lako, sio la ww +mkeChangamoto ni kubwa zaidi unapo oa goli kipa... Ila kama umeoa mwanamke anayeleta, wewe ukileta maisha huwa ni Kitonga!
UtumwaKuoa ni.......
Wa mjini nao waige maisha hayoKijjn ndo maisha yao, unaoa ukiwa kwa wazee, basi maisha simple
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020