Ndoa inaelekea kunishinda

Ndoa inaelekea kunishinda

Mimi mwenyewe swala la condom tena wanandoa linanipa wakati mgumu Ila sasa nafanyaje mtu mwenyewe ana miaka 30 Ila hasikii dah! Inaumiza sana yani hata haogopi magonjwa Ila itabidi tu tutumie Sina namna Mimi ni muoga sana wa magonjwa yani nisipotumia nae Kinga nitawashwa kumfatilia Ila nikitumia kidogo naweza nikajicontrol kumfatilia
Kwa umri mlio nao hizo kondomu mtatumia hadi mwaka gani? Halafu utamu utapungua sanaaa!
 
Kwa sasa usifanye nae mapenzi, atakuletea magonjwa utaumia zaidi, na usimuulize kitu chochote kuanzia sasa ingawa najua ndo atapata nafasi ya kufanya ujinga wake.

Kama kweli hataki kukupoteza, ukamnyamazia kila kitu, utaona akiumia mwenyewe, usimjibu tusi lolote kaa kimya akilala nje usimuulize kalala wapi. Kama anakujitaji atabadilika, kama hakuhitaji utaona akifurahia hiyo hali .

Jitahidi umalize miaka miwili tuone, ikishindikana baada ya miaka miwili omba taraka, usijitafutie kifo mwenyewe.

Kuna dada mmoja yamempata kama yako baada ya miezi 7 ya ndoa, mwanzoni mwanaume alikuwa akiomba msamaha, siku wamegombana kwa hasira mme akafunguka.

" kwanza wewe ndo ulikuwa ukilazimisha ndoa kisa umri umeenda mimi nilitaka tuendelee kusomana kwa muda zaidi, miaka miwili ilikuwa haitoshi mimi kufanya maamuzi . ndio na mimi ni mtu mzima ila na fulani nampenda nashindwa kumuacha"

Hapo ndo dada wa watu amejua kuwa hakuna mapenzi, dada ana 34 mwanaume ana 38.

Wiki iliyopita ilikuwa wiki ya sheria , dada alikuja kuomba ushauri afanye nini. Nimesituka nikajua ni wewe ila mwisho nimejua sio wewe naana yeye bado hana mimba.

Kweli ndoa ni ngumu.
Kwa hiyo huyo dada mlimshauri nini, pengine itamsaidia na huyu! Hebu toboa tusikie hapa!
 
IMG_20220201_092530.jpg
 
Mpige maombi ya Yeriko, yeye na michepuko yake.
 
Mimi mwenyewe swala la condom tena wanandoa linanipa wakati mgumu Ila sasa nafanyaje mtu mwenyewe ana miaka 30 Ila hasikii dah! Inaumiza sana yani hata haogopi magonjwa Ila itabidi tu tutumie Sina namna Mimi ni muoga sana wa magonjwa yani nisipotumia nae Kinga nitawashwa kumfatilia Ila nikitumia kidogo naweza nikajicontrol kumfatilia
Aliambiwa asikuoe mchaga,ukalazimisha,ukioa mchaga lazima uchepuke tu maana hamjui mapenzi,asipokuua kwa ngoma atakuua kwa presha,ndoa haina baraka
 
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!

Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.

Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji.

Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
siku zote huwa una like leo umetoa point wakakuban jamani
 
Dear katika makosa yatakayofanya nitengane na my lavu wangu, kuchepuka halipo I swear.....
Sasa huyo jamani ni uchepukaji au ujinga, kama umeshakaa miaka naye kadhaa utakomaa, embu umeolewa na miaka yako 22-25 miezi 6 michepuko 3 umekomaa kweli hapo, ila simshauri aondoke ila kwa mwanaume afanyacho sio kabisa
 
Sasa huyo jamani ni uchepukaji au ujinga, kama umeshakaa miaka naye kadhaa utakomaa, embu umeolewa na miaka yako 22-25 miezi 6 michepuko 3 umekomaa kweli hapo, ila simshauri aondoke ila kwa mwanaume afanyacho sio kabisa
hayo mbona ya kawaida tu, yani mi naona kawaida kabisa 😂😂😂 au nimelogwa???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom