Ndoa inaelekea kunishinda

Ndoa inaelekea kunishinda

Nimesoma comment za watu humu, wengi wanatamba kwakujiona ni manguli wa mapenzi.

Visanga vya mapenzi vikukute kwa mtu ambae haukuwa unampenda hapo unaweza kutamba vyovyote vile, ikitokea vimekukuta kwa mtu unaempenda na kumuamini kwa moyo wote aiseeeh maumivu yake huwa hayana mfano.

Mapenzi ni janga jingine linaloharibu kabisa maisha ya watu, asilimia 80 ya matatizo ya binadamu chanzo ni mapenzi either mwanaume au mwanamke.
 
Pole sana, tuliza akili na kumwomba Mungu akufariji. Usifanye maamuzi yatakayokuumiza kipindi hiki cha ujauzito.

Pia unaweza kuongea na wazazi wake wakusaidie kuzungumza nae.
Wee kuna wazazi na wazazi ni afadhali hata huko alikofungia ndoa! Wazazi wengine hovyo sana bora nilie ndani siku 2 kisha niendelee na maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kwa sababu mchana kuna uzi fulani umewakebehi wacha Mungu...umesema huwaamini WANAOJIFANYA wacha Mungu ila hapa naona rafiki yangu Relief Mirzska unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Rey hawezi kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa. That's one!

Pili mimi simo katika wacha mungu kabisaaaa

Tatu wewe ndio ulininyima namba ya Heaven Sent (limekujaje?? Sijui) hahahaahahahahau
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.

Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.

Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Pole dada
 
Mwanaume haachwi kwa kuchepuka ..hakuna mwanaume asiye na tamaa za wanawake wengine kwaiyo kuwa na michepuko kawaida ...achana na kauli eti uondoke jaribu kuvumilia ndio maisha ya ndoa yalivyo
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.

Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.

Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Watano tu unalalamika je ungekuta 8 au 10,pole ndio mapenzi hayo
 
Nami naomba kweli Mungu akutie nguvu, mimi kabla sijaoa ningekupa pole, lakini kwa sasa nakupa pongezi .
Kwanza mume wako ni mwanaume hasa! HASA.
Pili wewe unathamani kwake na ndio maana mpaka sasa yupo na wewe vinginevyo ingekua yupo na mmojawapo wa hao.
Tatu hata hayo maandiko tunayo ya rejea unakuta huko kuna vifungu vinavyoonyesha mwanaume fulani alikua na wake zaidi ya mmoja, rejea kwa yakobo, alikuwa na wake rasmi wawili na alizaa na wake wawili wasio rasmi na hao watoto waliotokana na wake hao wanne ndio taifa teule la Mungu huyo huyo unae enda kumshirikisha mchungaji.

Nguvu zilizo ndani yetu za ngono hazistahimiliki kwa mwanamke mmoja nyakati zote, yaani maisha yote ya mwanaume awe na mwanamke mmoja hio haipo hata huyo mchungaji anajua, nakwambia anajua ila uchungaji ndio umemsitiri

Kwenu wanawake sio tu kwamba mnaweza kuwa na mwanaume mmoja tu bali mnaweza kutokua na mwanaume na maisha yakaenda.

Badilisha fikra ,lea ndoa yako , lea ujauzito wako ,lea mume wako.

Pole lakini.
Eti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom