Ndoa inaelekea kunishinda

Ndoa inaelekea kunishinda

Wanawake hapo ndo mnapofeli, et unataman umshirikshe mchungaji wenu??? Huna wazaz, ndugu na jamaa?? Kuwa makin na hao wachungaj watakuomba buree!! Nao binadamu
Ndomana sijashirikisha mtu yeyote mpaka sahivi nimekuja kuomba ushauri kwenu hata wazazi wenyewe na ndugu napata wakati mgumu

Kuwambia maana ni aibu jamani miezi 6 ya ndoa michepuko 3 na bado usikute wapo pia nisiowafahamu unajua inakatisha tamaa naona tu Kama nitawaumiza wazazi wangu kwanza baba alivyo mkali na hii mimba najua tu hatokubali nirudi nyumbani na hii mimba, jamani ndoa ni ngumu Mungu wangu
 
Usikate tamaa,vumilia tu,Usiondoke pambana na ndoa yako,hao michepuko wanapita tu

Hiyo ndiyo hulka ya mumeo kwahiyo ipotezee usimfuatilie ukimfuatilia utazidi kuumia kila kukicha,kikubwa asikuletee malazi tu.

Hakuna haja ya kushtaki kwa mchungaji

Wanasema ndoa kuvumilia,kwahiyo vumilia.

Wanaume na michepuko kama chura na maji.
Jana nimemsema nimemwambia navumilia tu sababu ya hii mimba Ila sitokufatilia maisha yote tutatumia condom na hapa nawaza kujiepusha na maradhi.

Bora Mimi nitumie nae condom Kama yeye nje anashindwa kutumia tumlee mtoto maisha yaende siku ziende tujifie yeye akipata ukimwi uko au hata akizaa uko nje atajua na maisha yake vinachosha jamani kupigizana kelele na mtu mzima kila siku
 
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!

Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.

Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Mmh wewe ndio kivuruge. Mwisho wa siku wenzio wakianza kupata magonjwa nyemelezi kinga zipo chini wewe uko zako pembeni unawacheka. Kucheat ndan ya ndoa ya miezi 6 haimpi credibility mwanaume aliye serious na ndoa, NEVER.

Kwanini uoe na huwezi tulia na mwanamke mmoja. Kuna bahat mbaya sawa lakini ndoa bado changa una wanawake watatu nje tayari
 
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Mimi ningekuwa mume wake ningemwambia sameness 7×70.
Yani makosa makubwa saba then na marudio yake yawe sabini.

Kwa.mantiki hiyo mchepuko kosa moja na msg za watu wawili wapya.
1×3 ili ushindwe ndo na kosa lisieux linasameheka inatakiwa 1( kuzini) ×70( wanawake 70 ambao umenifumania) .
 
Nahisi tatizo lilianzia hapo maana ninyi wanawake unaweza kuwa unamnyima mwenzio unyumba kisa eti unaujauzto. Kwahio ukaridhia kama utapata msaidizi wanawake mnafeli sana.
 
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!

Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.

Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Hahaha nilikuwa nimenuna Ila umenifanya nimecheka ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Simu simu simu!

Wewe huna simu ya siri? Mumeo ana rukhsa ya kushika simu yako?

Siku hizi kwanza mnafunga ndoa za nini?

Unakuta wanandoa eti ni marufuku kila mmoja kushika simu ya mwenzake.

A dead giveaway.

Vumilianeni tu sasa. Ndoa mliitaka wenyewe…

Mkishindwa kuvumiliana, achaneni.

Kuachana siyo mwisho wa dunia.

Na hata ingekuwa mwisho wa dunia, ni bora tu kuachana kuliko kuendelea kudanganyana kama mko mataahira.
Nzuri
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.

Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.

Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Pole,ushauri wangu hapo usione haya wala nini kuwashikirikisha watumishi wako,hilo jambo litakutesa na usipoangalia litakupelekea kufanya maamuzi ambayo ni ya ibu kuliko hilo la kuficha watumishi wa Mungu.Ndoa bila ya kumtanguliza Mungu mbele ni majanga sana,hakuna rahisi na ukikaa mbali na Mungu wako tegemea maumivu tu...
 
Una miaka mingapi? Umejuana na mumeo kwa muda gani kabla ya ndoa mkiwa kama wapenzi?
Na miaka 28 nina miaka naye mi 5 kabla ya ndoa na alikuwa hayupo hivi mpaka nawaza au kalogwa mbona ghafla wanawake wote hao alafu Bora ingekuwa hata ana muda nao nilivyongea nao wawili kawatongoza mwezi wa 12 mmoja ndo toka mwezi wa 11 yani kinachonishangaza kwanini wote iwe ghafla ndani ya mwezi mmoja
 
haya mambo ni ya kawaida kuyaskia maskioni ilausiombe yakukute,ushauri wangu kwako ni mind your own business,concentrate kazini kama unakazi jiongezee na biashara kama huna ili uwe bize kuwaza maendeleo + mtoto wako,omba Mungu mengine yatajisot yenyewe pia penda kwa kiasi
 
Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.

Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.

Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Pole sasa mkuu. U need somehow kulijua hili, wanaume sex kwao ni starehe Na sio upendo. Mumeo anachepuka just kwa starehe n funny, maadam ushajua amechepuka then kubali kumsamehe na Jaribu kuongea naye aachane na hiyo tabia. Usifikirie kuachana naye maana hutampata yeyote aliye kamili. Kwa wakatoliki kwenye njia ya msalaba kituo cha Pili Yesu anapopokea msalaba na kukubali kuubeba mpaka Calvary anatufundisha kupokea na kuibeba misalaba yetu tuliyonayo mpaka mwisho wa maisha yetu.
 
Mmh wewe ndio kivuruge. Mwisho wa siku wenzio wakianza kupata magonjwa nyemelezi kinga zipo chini wewe uko zako pembeni unawacheka. Kucheat ndan ya ndoa ya miezi 6 haimpi credibility mwanaume aliye serious na ndoa, NEVER.

Kwanini uoe na huwezi tulia na mwanamke mmoja. Kuna bahat mbaya sawa lakini ndoa bado changa una wanawake watatu nje tayari
Na hichi ndokinachoniuma zaidi maana yake amefanya makusudi angekuwa mmoja ningesema bahati mbaya Ila 3 duh! Ndomana naona aibu kushirikisha ndugu naona Kama ntakuwa najivua nguo
 
Nami naomba kweli Mungu akutie nguvu, mimi kabla sijaoa ningekupa pole, lakini kwa sasa nakupa pongezi .
Kwanza mume wako ni mwanaume hasa! HASA.
Pili wewe unathamani kwake na ndio maana mpaka sasa yupo na wewe vinginevyo ingekua yupo na mmojawapo wa hao.
Tatu hata hayo maandiko tunayo ya rejea unakuta huko kuna vifungu vinavyoonyesha mwanaume fulani alikua na wake zaidi ya mmoja, rejea kwa yakobo, alikuwa na wake rasmi wawili na alizaa na wake wawili wasio rasmi na hao watoto waliotokana na wake hao wanne ndio taifa teule la Mungu huyo huyo unae enda kumshirikisha mchungaji.

Nguvu zilizo ndani yetu za ngono hazistahimiliki kwa mwanamke mmoja nyakati zote, yaani maisha yote ya mwanaume awe na mwanamke mmoja hio haipo hata huyo mchungaji anajua, nakwambia anajua ila uchungaji ndio umemsitiri

Kwenu wanawake sio tu kwamba mnaweza kuwa na mwanaume mmoja tu bali mnaweza kutokua na mwanaume na maisha yakaenda.

Badilisha fikra ,lea ndoa yako , lea ujauzito wako ,lea mume wako.

Pole lakini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom