Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Yaani sasa wewe ndio unatakiwa uwe msimamizi haswaaaMnishirikishe na mimi hiyo issue. Kwanza mrudi selfika
Yaani sasa wewe ndio unatakiwa uwe msimamizi haswaaaMnishirikishe na mimi hiyo issue. Kwanza mrudi selfika
Anakudanganya huyo nkamu wakoKwahiyo kanidanganya??
Khaaaa
Kwani tumeondoka?
Yaani sasa wewe ndio unatakiwa uwe msimamizi haswaaa
Ni kweliUzi wa watu tutafurumshwa
Haya twende nkakudokeze piyemu kuleeeeEm nidokeze basi
Usikate tamaa,vumilia tu,Usiondoke pambana na ndoa yako,hao michepuko wanapita tu
Hiyo ndiyo hulka ya mumeo kwahiyo ipotezee usimfuatilie ukimfuatilia utazidi kuumia kila kukicha,kikubwa asikuletee malazi tu.
Hakuna haja ya kushtaki kwa mchungaji
Wanasema ndoa kuvumilia,kwahiyo vumilia.
Wanaume na michepuko kama chura na maji.
Michepuko hawapiti dada
Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..
Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
Kulogana hapo habari nyingineMichepuko hawapiti dada
Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..
Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.



Yani Acha kabisa, mapenzi ni kitu ingine bwana. Naona watu wanachukulia easy tu.Yaani hujakosea kwa mtu uliyempenda na kumwamini inauma sana, labda kama wanapotezeana muda na kusogezana siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wamenipenda hutoamini wenyewe tu wameingiwa na huruma na wamemsema Kama nini maana text zao naziona mmoja ndoalimdanganya anapeleka mahari kwao amuoe alikuwa na bwana ake akamuacha kisa huyu baada ya kumpigia naye alihisi kudata maana alisema hadi kwao kuwa kapata mchumba huyu ndompaka alilazwa kwa stress karusiwa juzi hapa ndoanamtishia anaenda kumloga ni mbulu yangu macho walogane tu vurugu ziishe
Read hii quotation..if u really want peace of mind make decisions..hata ukiachana nae utajifungua tu salama na maisha mapya utaanza wew na mwanao..usitazame watu watakusema vipi kwamba umeachika bali ishi maisha yako upendavyo wewe bila kujali society itaongea nini angali wao hawajui maumiv unayopitia..kama unakazi andoka haraka sana kama bado unamtegemea huyo mwanaume basi mpige tukio..nkimaansha mlaghai upate mtaji then uondoke ukayaanze maisha sehem nyingne... happiness start with you..Pole kwa yote but be a strong woman for ur unborn childSimu Mimi ndonilimlazimisha ache nilimwambia kwakuwa ushamwambia una mke na umeomba msamaha tuanze upya simu niachie hakuna tena kumiliki simu ya Siri na nilifanya makusudi ili nijue Kama Kuna wengine Ila sahivi najutia nlichofanya coz naumia hata nikisema nishirikishe wazazi na wachungaji napata wakati mgumu maana najua ni watu wa dini hawatokubali tuachane watafanya juu chini aombe msamaha yaishe mwisho wa siku nitakuwa tu nimejitia aibu kwa kuwaelezea upumbavu wa mme wangu
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!
Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.
Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.
Chukua hiyo ya Dr.mchezo endelea na ndoa yako..huyo ndio chaguo lako na ww ndio chaguo lakeUshauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Kuwa karibu na Mungu na kuepuka Uzinzi ndio suluhisho tu. Vinginevyo hakuna namna.Michepuko hawapiti dada
Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..
Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
hIvi weewe ndo miss chaga?Na Mimi nawaza kitu Kama hicho niwe tu bize na maisha yangu na mwanangu aliye tumboni nafikiria kwanzia Leo nisishike simu yake Wala nisimfatilie akiamua kuchepuka achepuke maana nshaona nikijua naumia alafu ameshanikatisha tamaa coz ndokwanza tuna miezi 6 kwenye ndoa alafu namfuma na wanawake 3 Bora hata angekuwa mmoja ningesema labda kwakuwa na mimba ameona anitafutie msaidizi nafikiria hata siku akitaka nishiriki nae niwe tu Mimi natumia nae condom maisha yote kujiepusha na maradhi maana nimewasiliana na wadada wawili kati ya hao wanasema walikuwa hawatumii condom mmoja ndoanasubiri kazi ya upolisi hivyo alimforce wakapime ukimwi kuhofia asijepata maambukizi akakosa kazi, yani hata hajali afya yangu na mtoto wake mpaka Kuna wakati inanijia roho ya kishetani nawaza sijui nimchomee hata ndani jamani naumia Basi tu mpaka naona tena Kama huu ujauzito nlobeba ni mzigo kwangu maana mimba tu nayo inanitesa naumwa badala ya yeye kuwa faraja kwangu ndokawa Moto ananichoma
Na hiyo mimba yako ni bora tu uwaambie wazazi wako usifikiri utaweza kuvumilia hili....wambie watamsema hata yeye anaona aibu kuitwa kikaoni sababu ya umalaya. Atatulia au atachapuka kwa akili hutahisi kitu tena.Ndomana sijashirikisha mtu yeyote mpaka sahivi nimekuja kuomba ushauri kwenu hata wazazi wenyewe na ndugu napata wakati mgumu kuwambia maana ni aibu jamani miezi 6 ya ndoa michepuko 3 na bado usikute wapo pia nisiowafahamu unajua inakatisha tamaa naona tu Kama nitawaumiza wazazi wangu kwanza baba alivyo mkali na hii mimba najua tu hatokubali nirudi nyumbani na hii mimba, jamani ndoa ni ngumu Mungu wangu