SAUDARI nakubaliana na wewe kabisa kuwa kuna mambo yanaudhi mpaka unashindwa kabisa kujizuia na akaamua kumpiga huyo mamaSikiliza Mr Rocky, ndo maana nikamwambia huyo mtoa mada aeleza kisa ni nini
coz huenda huyo jamaa alipandwa na hasira na akashindwa kujizuia kuzionyesha
hisia zake za ndani.
Ila vyovyote itakavyokuwa wanaume najua tuna hasira sana na kuna sehem tunashindwa kuzizuia hasira hizo na kujikuta tumechukua maamuzi bila hata kufikia matokeo yake
Ila kama mke na mume ndani ya ndoa kuna sehem twapaswa kutumia busara zaidi na sio nguvu katika kufikia maamuzi fulani na hilo ndo la muhimu
Last edited by a moderator: