Ndoa ina miezi mitatu, keshang'olewa jino na ngeu kwenye Reception

Sikiliza Mr Rocky, ndo maana nikamwambia huyo mtoa mada aeleza kisa ni nini
coz huenda huyo jamaa alipandwa na hasira na akashindwa kujizuia kuzionyesha
hisia zake za ndani.
SAUDARI nakubaliana na wewe kabisa kuwa kuna mambo yanaudhi mpaka unashindwa kabisa kujizuia na akaamua kumpiga huyo mama
Ila vyovyote itakavyokuwa wanaume najua tuna hasira sana na kuna sehem tunashindwa kuzizuia hasira hizo na kujikuta tumechukua maamuzi bila hata kufikia matokeo yake
Ila kama mke na mume ndani ya ndoa kuna sehem twapaswa kutumia busara zaidi na sio nguvu katika kufikia maamuzi fulani na hilo ndo la muhimu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa, mara nyingi mwanamke huwa hana uwezo wa kurudisha hayo magumi au hata kujitetea. Mbaya zaidi mtu akishapigwa wala haendi kushtaki anabaki kujifungia ndani kujiuguza kimya kimya kisa watu watanishangaa namshtaki mume polisi.

Ndo hapo sasa mwaJ
Ila naamini busara zaidi katika kusuluhisha masuala ya ndani ya nyumba kuliko kutumia nguvu katika kutafuta suluhisho
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza Mr Rocky, ndo maana nikamwambia huyo mtoa mada aeleza kisa ni nini
coz huenda huyo jamaa alipandwa na hasira na akashindwa kujizuia kuzionyesha
hisia zake za ndani.

Mkuu SAUDARI tunatakiwa kujifunza namna ya kuitawala hasira. Ukiacha hasira ikutawale utakuwa kama kichaa na matokeo yake ni majuto pale hasira inapoisha.
 
Last edited by a moderator:
SAUDARI nakubaliana na wewe kabisa kuwa kuna mambo yanaudhi mpaka unashindwa kabisa kujizuia na akaamua kumpiga huyo mama
Ila vyovyote itakavyokuwa wanaume najua tuna hasira sana na kuna sehem tunashindwa kuzizuia hasira hizo na kujikuta tumechukua maamuzi bila hata kufikia matokeo yake
Ila kama mke na mume ndani ya ndoa kuna sehem twapaswa kutumia busara zaidi na sio nguvu katika kufikia maamuzi fulani na hilo ndo la muhimu

Hilo ni sawa kabisa my brother Mr Rocky, ila cha msngi ni kuwepo na taarifa
kamili za hicho kilichopelekea mpaka huyo bidada ang'olewe jino.
Hebu pilau tuambie kisa ni nini?
 
Kwahiyo mtu akae tu na mdundaji mpaka atakapomuua? Kisa ndoa ya kanisani? Kwani kanisa linaruhusu kudundana?

tatizo siku hizi watu wanafanya ndoa kama fashion. Zamani kulikuwepo mafundisho ya mira na desturi, siku hizi watu wanazoanazoana kwa tamaa zao za mwili, na msukumo wa kufanya ngono tu. Ndoa bila Imani ni bure. Kwenye ndoa, busara na hekima ni vitu muhimu sana. Mkiwa kama wanasiasa, lazima mtashindwana tu.
 
Haswaaa! Na mnapokuwa na imani hamtapigana ngumi/bakora kutiana ngeu, mtazungumza.
 
Hilo ni sawa kabisa my brother Mr Rocky, ila cha msngi ni kuwepo na taarifa
kamili za hicho kilichopelekea mpaka huyo bidada ang'olewe jino.
Hebu pilau tuambie kisa ni nini?

Mkuu SAUDARI hakuna justfication ya kilichofanyika hata kama kosa lilikuwa kubwa kiasi gani huwezi kujustfy kuwa alistahili adhabu ya kuong'olewa jino

Najua kuna hasira na nini kwa upande wa mwanaume ila haimaanishi kuwa uchukulie mwili wa mwenzako kuwa sehemu ya kufanyia mazoezi na mpaka kumuondoa jino ambalo ni kilema kwake kwa maisha yake yote

may be tusikie kosa ni nini kutoka kwa mhusika SAUDARI tusihukumu kwanza
 
Last edited by a moderator:
Hakuna justification yoyote ya kupigana kwenye ndoa! Kabisaaa! Sasa kumng'oa jino ndo kunamtuliza?

huyo mpwao muambieni atoke hapo!
Je mpwa wako ametulia mpaka wataka kumtetea?
Je umeshawahi kuchunguza ni nani chanzo cha ugomvi huo?
Tupe chanzo ili tuwezekumhukumu.
 
Ndo maana nataka nichelewe kuoa. Hizi kashfa sizitaki kabisa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ndani ya hali ya sasa kuna watu wanawapiga wake zao mpaka kuwaondoa meno aise
Wameshindwa kusuluhisha tofauti zao mpaka watoane ngeu
Balaa kabisa

Mkuu mijanamke mingine inakera unaweza kutia nakoz za kutosha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu mijanamke mingine inakera unaweza kutia nakoz za kutosha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu adakiss23 taratibu wakija wenyewe hapa utaipata aise
najua wengi wanakera na ndo maana tunaambiwa tukae nao kwa akili na akili yenyewe ndo hiyo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nataka nichelewe kuoa. Hizi kashfa sizitaki kabisa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkuu kuchelewa siyo suluhisho la haya. Kama haujajifunza jinsi ya kuishi na mwenzio, nawe utakuwa hivihivi, hata ufikishe miaka 55. Kinachotakiwa kwenye ndoa ni busara na hekima kwa wanandoa.
 
Mkuu SAUDARI hakuna justfication ya kilichofanyika hata kama kosa lilikuwa kubwa kiasi gani huwezi kujustfy kuwa alistahili adhabu ya kuong'olewa jino

Najua kuna hasira na nini kwa upande wa mwanaume ila haimaanishi kuwa uchukulie mwili wa mwenzako kuwa sehemu ya kufanyia mazoezi na mpaka kumuondoa jino ambalo ni kilema kwake kwa maisha yake yote

may be tusikie kosa ni nini kutoka kwa mhusika SAUDARI tusihukumu kwanza

Aya mkuu Mr Rocky nitajaribu kuzituliza hasira zangu.
 
Loh! huyo sio mwanamme alokamilika,huwezi kumpiga mkeo kama mmeshindana tabia angemalizana nae wapo tele wasokua
na dhiki....
 
Mkuu SAUDARI tunatakiwa kujifunza namna ya kuitawala hasira. Ukiacha hasira ikutawale utakuwa kama kichaa na matokeo yake ni majuto pale hasira inapoisha.

Haya bidada mwaJ nitajitahidi kupunguza hasira na ikiwezekana nizungumze kama amenikosea.
Maana nilikua nawadunda ile mbaya!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom