Ndoa ina miezi mitatu, keshang'olewa jino na ngeu kwenye Reception

....... Siupendi kabisa usemi usemao ndoa ndoano... sipendi.... lakini mpwa wangu ana chini ya miezi 4 ndani ya ndoa yaani ni ndoa changa......... lakini jamaa kesha mtoa jino na ngeu na kumharibia reception yake.... jamani ndoa hii ni ya Kanisani.........hivi kwa hali kama hii kuivunja ndoa hii kuna makosa kweli?

............. Mashauriano juu ya kupatanisha ndoa za watu mara nyingi huwa hayafikii muafaka ya watu kurudiana na kuendelea na upendo kama ulivyokuwa awali.....ni ndoa chache sana ambazo zimetengamaa baada ya wazazi, wachungaji, mashekhe na watu wenye busara kuingilia kati....... lakini hoja yangu binafsi katika swala hili ni kujua kuivunja ndoa kama hii ambayo ni ya kanisani.....ni sawa ama la? maana wanaposema aliowaunganisha MUNGU mwanadamu asiwatenganishe..... ndo katika hali kama hii ya kupasuana?
 
Anapigwa bila sababu?

........Haijalishi ni kwa sababu gani ...angalia umri wa ndoa na mateso yanayotokea....

...... Mashauriano juu ya kupatanisha ndoa za watu mara nyingi huwa hayafikii muafaka ya watu kurudiana na kuendelea na upendo kama ulivyokuwa awali.....ni ndoa chache sana ambazo zimetengamaa baada ya wazazi, wachungaji, mashekhe na watu wenye busara kuingilia kati....... lakini hoja yangu binafsi katika swala hili ni kujua kuivunja ndoa kama hii ambayo ni ya kanisani.....ni sawa ama la? maana wanaposema aliowaunganisha MUNGU mwanadamu asiwatenganishe..... ndo katika hali kama hii ya kupasuana?
 
A-act sasa hivi, akimuachia atakuja kumpa ukilema wa maisha au kumuua kabisa! Mijanaume mingine, puuuuuuuuu!



...... Mashauriano juu ya kupatanisha ndoa za watu mara nyingi huwa hayafikii muafaka ya watu kurudiana na kuendelea na upendo kama ulivyokuwa awali.....ni ndoa chache sana ambazo zimetengamaa baada ya wazazi, wachungaji, mashekhe na watu wenye busara kuingilia kati....... laini hoja yangu binafsi katika swala hili ni kujua kuivunja ndoa kama hii ambayo ni ya kanisani.....ni sawa ama la? maana wanaposema aliowaunganisha MUNGU mwanadamu asiwatenganishe..... ndo katika hali kama hii ya kupasuana?
 
hawa mnaowajadili sa ivi wote wanakaribia climax ndan ya 6 kwa 6. ya wanandoa waachieni wanandoa. it could make sense kama mpwa wako ndo angeomba ushauri humu jamvini. we unataka tushauri ili iweje,au ndo unatufundisha umbea.
wadau msinielewe vibaya

.......... wewe toa ushauri ... usidani wote wanao uwezo wa kuingia jamii forum... hasa ukizingatia kule wanakoishi mambo ya mtandao bado ndo kwanza yanaingia............ mimi ni sehemu ya familia ....
 
Haihitaji kufika huko kote,mkishindwana barabara ni nyeupe kila mtu achukue 50 zake na maisha yanaendelea kama kawaida!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

........Ushauri wako unazingatia ndoa ni ya kanisani?........ wanapotuambia tusiachane.... ndo katika mateso kama hayo?
 
Mwambie avumilia ndoa zina raha na shida zake moja ya shinda ndo hiyo.
 
Back
Top Bottom