Kuwa single sio raha mkuu, Binadamu sisi ni social being, tumeumbwa kuwa kwenye society na level ya chini kabisa ya society ni familia, na familia inaanza na mwenza. Hapo ndani lazima mama ipite pite bana ukiwa umerudi, ikufungulie geti n.k mkishindwana mnaachana atakuja mwingine, ila kukaa mwenyewe hapo ndani bila wa kuzungumza nae miezi na miezi hakuna raha yoyote.Kua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
Pole, hope itakuwa imekujenga, sa hii hata ukiwa na mtu unajua mipaka uichoree wapi, akivuka wapi umtimue na asipofanya nini anakuwa hakufai.Ni sahihi, nimepitia haya mkuu.... kidogo tu unakuwa mtu wa kulialia
Yeah...nimekua sasa aiseePole, hope itakuwa imekujenga, sa hii hata ukiwa na mtu unajua mipaka uichoree wapi, akivuka wapi umtimue na asipofanya nini anakuwa hakufai.
100%...Punda ni wa nyumbani..pundamilia tunakwenda kumuona porini alafu tunarudi nyumbaniBefore sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..
Kuna siku nikampa deadline kua nataka kuoa akasema nimpe muda siku ilipo fika akasema still nimpe muda hapo Mimi pia upande wa pili nilikua na school mates wangu o-level nilimwacha darasa moja tulikua kwenye mahusiano.
Yule school mates wangu alinambia Mimi sieleweli anataka kuolewa so na kweli nilikua na mpoteza kimya kimya nikaenda toa mahari send-off na harusi zilipishana one week kilicho tokea yule SOUL MATE akarudi kwa nguvuuuuuuuu wakati nimeoa.
For sure Mimi nimeoa mtu anae nipenda zaidi ya Mimi navyo mpenda ni mwanamke alie ni shape kwenye vingi na alinijua tangu nikiwa kiranja o- level ni mfano wa mapenzi ya dhatii ambayo ni mpaka kifo aanze yeye au Mimi.
Sikuwa na kazi, pesa alikiwepo tupate kikubwa kidogo hicho hicho kilitutosha tunafichiana siri tuna saidiana tunashirikiana tunasaidiana nilipata ajari nikavunjika mguu sijiwezi chochote aliniogesha, nitawaza kama mwanae hapo hapo alikua mjamzito
Ushaur Oa mwanamke anae kupenda kama ulivyo usi oe matako, sura, pesa, au chochote materially Kuna mengi ya kuandika ngoja Kuna kazi niimalizie hapa
Wee acha tuKwa heshima kubwa, ningesema ushuhuda wako ni mwaliko wa tafakuri kwa vijana na hata watu walioko kwenye ndoa wajifunze kwamba amani ya nafsi ni bora kuliko taswira ya nje...
Samesio ndoa tu hata mahusiano ya kijamii yako toxic Sana, I cutted ties na watu baadhi siku chache zilizo pita.
SameUlikuwa hujui hilo mkuu. Mi sina rafiki wala mahusiano ya kipuuzi na watu.
π€£π€£ Watakuhudumia until your last breath hakumuona lemutuz !?Uzee una shida gani? Tafuta hela
Wasaidizi wamejaa kitaa
Nomaaa π₯π₯π₯Before sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..
Kuna siku nikampa deadline kua nataka kuoa akasema nimpe muda siku ilipo fika akasema still nimpe muda hapo Mimi pia upande wa pili nilikua na school mates wangu o-level nilimwacha darasa moja tulikua kwenye mahusiano.
Yule school mates wangu alinambia Mimi sieleweli anataka kuolewa so na kweli nilikua na mpoteza kimya kimya nikaenda toa mahari send-off na harusi zilipishana one week kilicho tokea yule SOUL MATE akarudi kwa nguvuuuuuuuu wakati nimeoa.
For sure Mimi nimeoa mtu anae nipenda zaidi ya Mimi navyo mpenda ni mwanamke alie ni shape kwenye vingi na alinijua tangu nikiwa kiranja o- level ni mfano wa mapenzi ya dhatii ambayo ni mpaka kifo aanze yeye au Mimi.
Sikuwa na kazi, pesa alikiwepo tupate kikubwa kidogo hicho hicho kilitutosha tunafichiana siri tuna saidiana tunashirikiana tunasaidiana nilipata ajari nikavunjika mguu sijiwezi chochote aliniogesha, nitawaza kama mwanae hapo hapo alikua mjamzito
Ushaur Oa mwanamke anae kupenda kama ulivyo usi oe matako, sura, pesa, au chochote materially Kuna mengi ya kuandika ngoja Kuna kazi niimalizie hapa
Sure thingNdoa si kwa kila mtu... aaliyesema huo msemo humu jf nakubaliana nae..
Kmmk πππHongera kaka .
Leo nilipata wasaa wa kujiangalia kwenye kioo ili nijikumbushe mimi ni nani .
Aisee nimeanza kuota kipara ,itoshe kusema na mimi mahusiano yamenisababishia kipara udogoni
ππππMkuu unasema tu.....
Tema mate chini.
Hakuna silaha nzito duniani kama Kum*
Hapo naona umecheka Kwa nguvu mwenyewe π€£Hehehe
Naam katika ndoa lazima uwe kama Stalin au Putin kabisa π€£π€£πPole sana Bro.
Ni makosa makubwa ulifanya kuwa humble kisa ndoa au Mwanamke mpumbavu. Au kisa watoto.
Wengi wanaotumia mbinu hii walipata matatizo na majanga makubwa kufikia kufa vifo visivyo vyao.
Hii itakuwa Case study Kwa vijana wajifunze. Kwa mwanaume heshima Yako ni muhimu kuliko Familia. Kwa sababu heshima yako ndio ulinzi wako na familia Yako.
Mungu akupe uponyaji urudi katika hali ya kawaida. Yale mambo ya demokrasia tunayoyapigania kwenye siasa huku Ndoani au kwenye familia hayatumiki. Ndoa au Familia Ili ikae sawa inapaswa kutumia mfumo wa Kifalme.
πUKIONA MTU ANASHINDANA NA TAASISI LAZIMA AFAIL
TAASISI HAIJAWAHI KUSHINDWA
NDOA NI TASSISI
WANAWAKE NAO NI TAASISI