Unamaanisha wote au..Wanaume dhaifu, dhaifu and stupid!
Dawa ya hii ni kuoa mke chombo!Una moyo sana kama wote wawili utawaepuka bila shari.
Huyo mwanaume yuko sawa kweliHabari za leo waungwana,
Leo ni kali kuliko, huyu shost wa tangu boarding school, yale mambo ya kushare toothpaste na kuchanganya solution ili ulie mkate. Basi baada ya shule kila mtu aliendelea na ustaarabu wake, tumekutana mjini juzi tu na kubadilishana namba. Leo asubuhi dada yake ananipigia simu shost yuko Central Police Station.
Mkasa wenyewe ni hivi, shost ameolewa na amebahatika kupata watoto watatu, wa kiume wawil na wakike mmoja. Shost alihangaika sana kupata dada wa kumsaidia kazi, mama ofisini kwao akamletea binti kutoka mikoani, binti ni mzuri kaumbika, shost alimpeleka nyumbani na kumfahamisha taratibu za kazi.
Baada ya miezi mitatu kupita binti ameota mapembe ndani ya nyumba, shost akiagizi leo mchana chakula ni wali maharage na mchicha, akirudi anakuta wali njegele na nyama, jamani inakuwaje mtoto anamwambia nimejisikia tu kupika hivyo. Kumbe bwana mtoto ameota mapembe baada ya kuanza mapenzi na bwana shemeji.
Shost amekuja kumstukia mtoto akiamka asubuhi ni lazima akatapike bafuni, khaa wewe mtoto ni vipi tena hivi, kumpeleka hospitali akagundulika mtoto ana ki mimba cha wiki 6. Basi shost alimueleza yule mtoto hii mimba itabidi waitoe, mimba ilitolewa ikiwa na miezi mitatu.
Baada ya mimba kutolewa ndiyo shost anagundua kuwa mimba ilikuwa ya mume wake, kwa hasira alimpiga vibao dada, mume wa shost kusikia yale amekwenda police kuriport kuwa shost amefanya bodily harm crime amempiga mtu na kusababisha mimba kutoka. Hii ndiyo kesi inayomsubiri shost na akipatikana na hatia anafungwa.
Kasoro mimiAiseeee wanaume hawana jema hawa viumbe
KwakoMsemo wako ni irrelevant.
HayaKwako
Baba house mzinzi, mama house nae ajitathimini huenda yy akawa sababu ya hilo kutokea
Yaani wewe kama ulikuwepo, dada wa shost aliniambi bwana shemeji huwa anashusha kibondo cha nguvu kwa shost. Kuna wakati ndugu walichanga pesa wamsaidie pesa ya pango la mwaka ili ahame, wanashangaa hawamsikii tena, walimwita kwenye kikao akawauliza baada ya hiki kikao nyinyi mnakwenda wapi si kwa waume zenu ila mnataka nimwache wa kwangu.huruma na upendo ndio huwaponza wanawake!
kuna mwanamke,mumewe ni kicheche balaaa,isipite sketi!
ila sasa mwanamke mwenyewe sasa!
kuna siku mwanamke alishushiwa kipondo heavy baada ya kuwatukana mahawala za mumewe!
baada ya kuzinduka toka kwenye coma,akatuapia kuwa ni lazima aondoke!
na kwa kipigo kile tulishajua it is dead and gone!
kwani mapaja yake yote yalivia damu kwa kipindo,na kwa weupe ule dah!
alishindwa kula for two consecutive days,kwani koo lilikuwa linauma baada ya kukabwa shingo!
uso wake ulikuwa shaghala baghala!
sasa,baada ya wiki kupita na hatuoni mtu kukisanua,ikibidi tumuulize:"bibie vipi?nyumbani kwenu huendi"?
ahahaha
unajua alijibuje?"
"mume wangu akiniruhusu nichinje kuku wetu,hata kama tumegombana basi namsamehe"
ahahaha,ila aliwauliza swali zuri!Yaani wewe kama ulikuwepo, dada wa shost aliniambi bwana shemeji huwa anashusha kibondo cha nguvu kwa shost. Kuna wakati ndugu walichanga pesa wamsaidie pesa ya pango la mwaka ili ahame, wanashangaa hawamsikii tena, walimwita kwenye kikao akawauliza baada ya hiki kikao nyinyi mnakwenda wapi si kwa waume zenu ila mnataka nimwache wa kwangu.
Mwanaume alikwishaiotesha mbawa muda mrefu sana sema ilikuwa swala la wakati tu kutimia.Kunayo mambo mengine yanasikitisha na kuumiza sana kusema ukweli,najaribu kupata picha na kumuwaza huyo mama ni namna gani anapata mafadhaiko ya nafsi yaan mapenzi yake kwa mumewe ndo imekuwa hati yake!!!daah imenisikitisha sana.Ninahisi ndoa hapa imeota mbawa.
Changu hana raha bana...kitu beki tatu alafu kugegeda kwa kuibia ibia inanoga vibaya mnooo
Yaani sasa hivi ndugu wanapigania tu kesi iishe asiende jela.Mwanaume alikwishaiotesha mbawa muda mrefu sana sema ilikuwa swala la wakati tu kutimia.Kunayo mambo mengine yanasikitisha na kuumiza sana kusema ukweli,najaribu kupata picha na kumuwaza huyo mama ni namna gani anapata mafadhaiko ya nafsi yaan mapenzi yake kwa mumewe ndo imekuwa hati yake!!!daah imenisikitisha sana.
Naamini atapata msaada tu ila huyo mwanaume huyo sijui laiti ngelikuwa na undugu na huyo dada ngelimfanyaje kusema ukweli,nadhani uhai wake ingekuwa halali yangu yaani ningemuua kwa mikono yangu mpumbavu na mbwa kabisa huyo.