Ndoa hizi zina matatizo sana

Ndoa hizi zina matatizo sana

Mpe pole aisee.
Ila nachukia sana mwanaume asiyetosheka na mke wake inabidi huyo rafiki yako awe na nsimamo ulio thabit kwani asipoangalia huyo mwanaume itakuwa ni tabia yake kwa kila binti atakayemleta hapo nyumbani.

Olewa kwanza, then utatupa mrejesho baada ya miaka 5 ya ndoa.
 
muwe mnaangalia na hg mnayemtaka........ wewe unaleta kitu 5G,,,, wewe mwenyewe 3G unategemea nini.....then uko busy mno...... shetani hakuachi hakika...
Hivi vichwa vyenu huwa vinaangalia ni 2g au 10g!!
 
Huyo mwanaume ni mpumbavu kiasi gani jamani!!
Haya matatizo yao hayajaanza leo, lakini bottom line bwana shemeji ni handsome guy flani hivi, ninasikia tangia wakati wanadate ndugu walishamuonya kuhusu future yake na jamaa, lakini bishost kila akiuwaza ule uhandsome akajitosa ndoa ya kanisani.
 
Hahaha kuchepuka kwa staha ila si unakuwa umechepuka tu.Ulishawahi kuona kuchepuka kwa staha atoto?
Hahahaha
Kupo huko unachepuka kwa mahesabu, lakin humvunjii heshima njia kuu. Na unahakikisha huoneshi mabadiliko yoyote ya kitabia wala dharau.
Yaan hadi akiambiwa unachepuka anaweza akadhani ni habar ya uongo tu.
 
Mkuu dhambi ni dhami tu hakuna dhambi nyeupe na nyeusi.
 
Teh teh
Mstue bhana, hapo nimeongelea ikiwa nimechepuka. Ila kwa mwalim wa sayans sidhan kama ntachepuka.
Kumbe kuna mwalimu wa science, mimi nilishaanza kupaka make up nikidhani nitaimbiwa anameremeta.
 
Mkuu dhambi ni dhami tu hakuna dhambi nyeupe na nyeusi.
But sky ukubali au ukatae sku zote wanaume tunakuwa kwenye hatari ya kuchepuka, kinacho fanya michepuko iwe mibaya ndio kama hivo unakuta mwanaume sasa anafika stage ana mnyanyasa njia kuu et kisa mchepuko.
Mwanaume mwenye akili zake huwa hamnyanyasi njia kuu hata kama ana chepuka.
*though sisapot sana uchepukaji
 
Rafiki wa kiume, yuko kwenye ndoa mwaka wa huu wa kumi ananiambia hajawahi kuchepuka.
 
Hizi mambo za hausegirls zamani hazikuwepo. Sasa wewe una watoto watatu, means umeanza kuzeeka, alafu unaleta housegirl kigoli. Usimlaumu mumeo kabisaaa. Yaani unamkataza mtoto kulamba sukari alafu unafanya chumbani kwake kuwa stoo ya sukari. Bila aibu asubuhi unalalamika mtoto analamba sukari usiku!!!
 
Hahahaha
Kupo huko unachepuka kwa mahesabu, lakin humvunjii heshima njia kuu. Na unahakikisha huoneshi mabadiliko yoyote ya kitabia wala dharau.
Yaan hadi akiambiwa unachepuka anaweza akadhani ni habar ya uongo tu.
Ila tayari unakuwa umeishatenda dhambi ya kuchepuka
 
ajitathmini sasa..alijikwaa wapi..??...aache kulaumu alipoangukia.....
 
Baba house mzinzi, mama house nae ajitathimini huenda yy akawa sababu ya hilo kutokea
Sababu ipi kwa mfano hadi utoke na house girl na kumshtak MKE,
Wanaume na sie tunajiendekeza sana mwishowe tunaleta matatizo ya kujitakia kabisa.Jamaa aombe radhi amemsalit mkewe yaishe,wanawake mbona wepes kusamehe,watoto wataish na nani mama akifungwa,ujinga mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom