Mmh yani mume wa ndoa anifungulie kesi hiyo [emoji22][emoji22][emoji22]nikishinda nabeba kila kilicho changu....anyways mpe pole na ajaribu kumshirikisha ndugu wa pande zote anaweza pata msaada
huruma na upendo ndio huwaponza wanawake!
kuna mwanamke,mumewe ni kicheche balaaa,isipite sketi!
ila sasa mwanamke mwenyewe sasa!
kuna siku mwanamke alishushiwa kipondo heavy baada ya kuwatukana mahawala za mumewe!
baada ya kuzinduka toka kwenye coma,akatuapia kuwa ni lazima aondoke!
na kwa kipigo kile tulishajua it is dead and gone!
kwani mapaja yake yote yalivia damu kwa kipindo,na kwa weupe ule dah!
alishindwa kula for two consecutive days,kwani koo lilikuwa linauma baada ya kukabwa shingo!
uso wake ulikuwa shaghala baghala!
sasa,baada ya wiki kupita na hatuoni mtu kukisanua,ikibidi tumuulize:"bibie vipi?nyumbani kwenu huendi"?
ahahaha
unajua alijibuje?"
"mume wangu akiniruhusu nichinje kuku wetu,hata kama tumegombana basi namsamehe"