Aputwike
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 172
- 189
Mkuu hicho ndio kichwa cha hadithi nini, maana kimekaa poa sanaKisu kilichomkata mnoaji!
Mkuu hicho ndio kichwa cha hadithi nini, maana kimekaa poa sanaKisu kilichomkata mnoaji!
Hapa bottom line nikwamba jamaa anapenda kugegeda nje hajalishi ni beki tatu au wa mkoa mwengine maana kosa ni lilee lile watu tofauti tuuSawa ila basi bora kufanyia pembeni na sio humo ndani kwa mtu ambaye hakuletwa kwa malengo hayo.
Wanawake wengi wanapata mateso kwenye ndoa kuliko furaha....kibaya hawawezi kuondoka au kufanya chochote kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu....pia watoto wanafanya wanawake wabaki kwenye ndoa hata kama wanateseka[emoji22]huruma na upendo ndio huwaponza wanawake!
kuna mwanamke,mumewe ni kicheche balaaa,isipite sketi!
ila sasa mwanamke mwenyewe sasa!
kuna siku mwanamke alishushiwa kipondo heavy baada ya kuwatukana mahawala za mumewe!
baada ya kuzindika toka kwenye coma,akatuapia kuwa ni lazima aondoke!
na kwa kipigo tulishajua it is dead and gone!
kwani mapaja yake yote yalivia damu kwa kipindo,na kwa weupe ule dah!
alishindwa kula for two consecutive days,kwani koo lilikuwa linauma baada ya kukabwa shingo!
uso wake ulikuwa shaghala baghala!
sasa,baada ya wiki kupita na hatumi muda kukisanua,ikibidi tumuulize:"bibie vipi?nyumbani kwenu huendi"?
ahahaha
unajua alijibuje?"
"mume wangu akinisuruhusu nichinje kuku,hata kama tumegombana ni lazima nimsamehe"
Ukisasa ndio unaharibu huo uthamani wa msaidizi maana haiingii akilini hadi kitanda cha wanandoa, msaidizi wa kazi akakitandikaSio kweli ni hulka mbovu na kishindwa kufahamu thamani ya msaidizi.
Experience matters ningekua mimi ningepiga kimya tena mara nyingi tu na ndom bila wife kujua[emoji23]Daah aisee wewe. Lakini umeeleza kwa mantik kuwa km dume au hata jike akiruka kipindi fulani ktk ujana lazima iko siku atarudi nyuma afanye alichokiruka. Maanake pitia ujana na ujinga wake wote kabla hujaingia ktk ndoa, ili baadae usibabaishwe na wapitaji
Hiyo ni kwa wale wasiojielewa na kujua nafasi zao kama wake.Ukisasa ndio unaharibu huo uthamani wa msaidizi maana haiingii akilini hadi kitanda cha wanandoa, msaidizi wa kazi akakitandika
Ndio inapelekea haya sasa, asante kwa kunielewaHiyo ni kwa wale wasiojielewa na kujua nafasi zao kama wake.
nadhani kuna kitu huwa mnachanganya, siyo ndoa tu ndo zenye matatizo, matatizo yapo kila sehemu, kwani hakuna wasio na ndoa wenye matatizo?? kwa hivyo si sahihi kuona matatizo kwenye ndoa ni kitu cha ajabu, ndoa maisha.Habari za leo waungwana,
Leo ni kali kuliko, huyu shost wa tangu boarding school, yale mambo ya kushare toothpaste na kuchanganya solution ili ulie mkate. Basi baada ya shule kila mtu aliendelea na ustaarabu wake, tumekutana mjini juzi tu na kubadilishana namba. Leo asubuhi dada yake ananipigia simu shost yuko Central Police Station.
Mkasa wenyewe ni hivi, shost ameolewa na amebahatika kupata watoto watatu, wa kiume wawil na wakike mmoja. Shost alihangaika sana kupata dada wa kumsaidia kazi, mama ofisini kwao akamletea binti kutoka mikoani, binti ni mzuri kaumbika, shost alimpeleka nyumbani na kumfahamisha taratibu za kazi.
Baada ya miezi mitatu kupita binti ameota mapembe ndani ya nyumba, shost akiagizi leo mchana chakula ni wali maharage na mchicha, akirudi anakuta wali njegele na nyama, jamani inakuwaje mtoto anamwambia nimejisikia tu kupika hivyo. Kumbe bwana mtoto ameota mapembe baada ya kuanza mapenzi na bwana shemeji.
Shost amekuja kumstukia mtoto akiamka asubuhi ni lazima akatapike bafuni, khaa wewe mtoto ni vipi tena hivi, kumpeleka hospitali akagundulika mtoto ana ki mimba cha wiki 6. Basi shost alimueleza yule mtoto hii mimba itabidi waitoe, mimba ilitolewa ikiwa na miezi mitatu.
Baada ya mimba kutolewa ndiyo shost anagundua kuwa mimba ilikuwa ya mume wake, kwa hasira alimpiga vibao dada, mume wa shost kusikia yale amekwenda police kuriport kuwa shost amefanya bodily harm crime amempiga mtu na kusababisha mimba kutoka. Hii ndiyo kesi inayomsubiri shost na akipatikana na hatia anafungwa.
ha ha! nimewaza tuMkuu hicho ndio kichwa cha hadithi nini, maana kimekaa poa sana
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mkuu jaribu kuishi nyumba moja na binamu yako nyumba moja, ukiweza kumuepuka basi hata mtego wa beki 3 utauruka.
Una moyo sana kama wote wawili utawaepuka bila shari.[emoji38] [emoji38] [emoji38]
mkuu binamu ni ndugu kwangu!
kupiga beki 3 ni kujiendekeza tu