Ndoa hizi zina matatizo sana

Ndoa hizi zina matatizo sana

huyo mwanaume hana akili!
mwambie hivyo!
mwambie na huyo mwanamke hana akilh.utachukuaje mwanamke mzuri kama wewe as your house help?
halafu mwambie akifika mahakamani aseme alikuwa anafanya self defence!
halafu umwambie kesi ikiisha,achukue hamsini huyo mwanaume hafai!
halafu kutoa halikuwa wazo zuri!
Wapi imeandikwa House girl asiwe mrembo???-[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya matatizo yao hayajaanza leo, lakini bottom line bwana shemeji ni handsome guy flani hivi, ninasikia tangia wakati wanadate ndugu walishamuonya kuhusu future yake na jamaa, lakini bishost kila akiuwaza ule uhandsome akajitosa ndoa ya kanisani.
Kumbe alivutiwa na sura tu, basi acha alinywe.
 
Hahahaha
Kupo huko unachepuka kwa mahesabu, lakin humvunjii heshima njia kuu. Na unahakikisha huoneshi mabadiliko yoyote ya kitabia wala dharau.
Yaan hadi akiambiwa unachepuka anaweza akadhani ni habar ya uongo tu.
Yaani inavyojitahidi kuelezea kama vile kuna cha maanaaaaa unakielezea.
 
Teh teh
Mstue bhana, hapo nimeongelea ikiwa nimechepuka. Ila kwa mwalim wa sayans sidhan kama ntachepuka.
Chaaah!! Kumbe bado haujakata shauri la kutokuchepuka, basi tafuta tu std3, usijemtesa mwalimu wetu maana taifa linmtegemea.
 
Mpe pole aisee.
Ila nachukia sana mwanaume asiyetosheka na mke wake inabidi huyo rafiki yako awe na nsimamo ulio thabit kwani asipoangalia huyo mwanaume itakuwa ni tabia yake kwa kila binti atakayemleta hapo nyumbani.
Mwanamke mmoja hatoshi kwa mwanaume, hilo liko wazi.
 
Mpe pole aisee.
Ila nachukia sana mwanaume asiyetosheka na mke wake inabidi huyo rafiki yako awe na nsimamo ulio thabit kwani asipoangalia huyo mwanaume itakuwa ni tabia yake kwa kila binti atakayemleta hapo nyumbani.
Dawa ni kuleta houseboy
 
Sio kwa wanaume wa sasa wala chips labda wanaume wa zamani.
Kwangu mimi mke mmoja hatoshi kabisa hata kwa siku moja. Jana tu nimetafuna wanawake wawili lakini saivi najisikia nyege kama vile nina mwezi mzima, mwanamke mmoja anatoshaje?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom