Mimi kwangu hiyo pekee isingetosha kusema ukweli.Yaani sasa hivi ndugu wanapigania tu kesi iishe asiende jela.
ndio kalikuwa kachaguo kako bibie......Na wewe kwanini uoe 3G?
Uzuri wako uko kwenye nini?Kasoro mimi
Mi niko vzuri sana
Mie nawajali sana wanawake,Uzuri wako uko kwenye nini?
haya we sema hivyo halafu uniletee 5G,,,, nakutahadharisha mapema,,, leta hg 1G.....Chaguo lako siku zote atakuwa miss world machoni mwako mpaka uzeeni.
Hii ninahis culture zetu inachangia, mkichokana ndani ya ndoa huwezi kusema feelings zangu kwako zimebadilika, tunaendelea tu mpaka kuwe na wajukuu. Si ajabu bwana shemeji hana tena feelings na mke tena anataka aende tu jela yeye aendelee na maisha yake.Hapo tatizo lipo kwa mwanamke ajafiti ndani ya nyumba ukiona mume hadi kufikia hatua ya kumsaport Dada wa kazi na kukuona wewe mwanamke haufai kuna jambo hapo. Mke wa ndoa ajiangalie yeye kwanza tabia zake tangu aliingia kwenye ndoa
Nooo!!Chaguo lako siku zote atakuwa miss world machoni mwako mpaka uzeeni.
Nooo!!Chaguo lako siku zote atakuwa miss world machoni mwako mpaka uzeeni.
Tena housegirl alipoanza kuwa na maconfidence ya kufanya maamuzi ndani ya nyumba, ile ilikuwa dalili mbaya sana.Nooo!!
Lazima naye a mantain, akijisahau things can change.
Wakat nimejifunza kuwa huyo jamaa si mtu mzuri.
Ila mwanamke naye alikuwa loose sana mpaka hg aka mpindua nalo ni kosa lake aka jitafakari
kudaaaadeki pandegechimbikaaBaba house mzinzi, mama house nae ajitathimini huenda yy akawa sababu ya hilo kutokea
Ndio inavyoonekana dah labda rafiki yako muulize anamapungufu gani kwa mumewe mpaka mume kua na kiburi hivyoKwa baba huyu kuumia mimba ya housegirl kutolewa mpka kwenda police, inamaana alishaweka mahesabu ya mbali kwa house girl.
Hahaha kuchepuka kwa staha ila si unakuwa umechepuka tu.Ulishawahi kuona kuchepuka kwa staha atoto?Mie nawajali sana wanawake,
Hata nikichepuka nachepuka kwa staha na akili na utulivu.
Najiulizaga sana!
Mtu unaanzaje kupiga beki 3 kati kitaa machangu wamejaa