Nyama kwa nyama hainaga kipimo. Kwa ndom ni yule wa mara moja shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Lakini kilaukirudi home, usiku unabinjuka, Ndomu haitotumika zaidi ya mara 2.Experience matters ningekua mimi ningepiga kimya tena mara nyingi tu na ndom bila wife kujua[emoji23]
Hamna mwanaume anayetoshekaMpe pole aisee.
Ila nachukia sana mwanaume asiyetosheka na mke wake inabidi huyo rafiki yako awe na nsimamo ulio thabit kwani asipoangalia huyo mwanaume itakuwa ni tabia yake kwa kila binti atakayemleta hapo nyumbani.
Hata nawe hutosheki pia eee?Hamna mwanaume anayetosheka
Hamna anayetosheka ndio maana hata mungu kaweka wanawake wengi zaidi ya wanaumeHata nawe hutosheki pia eee?
Hamna anayetosheka ndio maana hata mungu kaweka wanawake wengi zaidi ya wanaume
Nyie mnaweka beki 3 chuchu zimesimama halaf ndio anachipukia kwny tendo unadhani mume atamuacha
Hata ningekua mm namuachaje kwa mfanoHamna anayetosheka ndio maana hata mungu kaweka wanawake wengi zaidi ya wanaume
Nyie mnaweka beki 3 chuchu zimesimama halaf ndio anachipukia kwny tendo unadhani mume atamuacha
Kama n wakuja unadhan angefanyaje hana jins but bdo hajapata ujanja wa mashoga zake wa mjiniJamani jamani,tunajua you guys hamuwezi kuvumilia ila why beki 3 of all people,yani humo humo ndani???? Nje kote umekosa?
Na huyo mama kaua kiumbe kisicho na hatia,beki 3 nae hajielewi kukubali kuitoa hiyo mimba.
Fimbo ya mbali haiui nyokaJamani jamani,tunajua you guys hamuwezi kuvumilia ila why beki 3 of all people,yani humo humo ndani???? Nje kote umekosa?
Na huyo mama kaua kiumbe kisicho na hatia,beki 3 nae hajielewi kukubali kuitoa hiyo mimba.
Mweeeh!! Huu ushauri mbona km siusomi!!!Sometimes mkiwa mnaolewa muangalie wanaume wakuolewa nao hawa madomo zege wa fresh from school wanaishia kupiga back 3 na kwakua hajawahi kupata vionjo mbalimbali lazima aivunjishie mimba!!
Msemo wako ni irrelevant.Fimbo ya mbali haiui nyoka
Yani chombo cha bure kipo ndani ukahangahike na wengine nje?!
Uwe na kamanda mzoefu bingwa anayezijua na amezigegeda papuchi mbalimbali !!housegirl hawezi kumbabaisha hadi kufikia hatua takuharibu maisha yenu sana sana akikaa vibaya na akiwa cute atagongwa na hata hautajua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mweeeh!! Huu ushauri mbona km siusomi!!!
Kwahiyo tuwe na watakaochepuka ila nje ya nyumba?
I see!!!Uwe na kamanda mzoefu bingwa anayezijua na amezigegeda papuchi mbalimbali !!housegirl hawezi kumbabaisha hadi kufikia hatua takuharibu maisha yenu sana sana akikaa vibaya na akiwa cute atagongwa na hata hautajua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaan pamoja na huo ujinga kamfanyia mkewe wa kutoka nje ya ndoa kaona bado haitoshi na polisi kampeleka,tena ni mkewe mmhh kweli binadamu tuko tofauti sana.Habari za leo waungwana,
Leo ni kali kuliko, huyu shost wa tangu boarding school, yale mambo ya kushare toothpaste na kuchanganya solution ili ulie mkate. Basi baada ya shule kila mtu aliendelea na ustaarabu wake, tumekutana mjini juzi tu na kubadilishana namba. Leo asubuhi dada yake ananipigia simu shost yuko Central Police Station.
Mkasa wenyewe ni hivi, shost ameolewa na amebahatika kupata watoto watatu, wa kiume wawil na wakike mmoja. Shost alihangaika sana kupata dada wa kumsaidia kazi, mama ofisini kwao akamletea binti kutoka mikoani, binti ni mzuri kaumbika, shost alimpeleka nyumbani na kumfahamisha taratibu za kazi.
Baada ya miezi mitatu kupita binti ameota mapembe ndani ya nyumba, shost akiagizi leo mchana chakula ni wali maharage na mchicha, akirudi anakuta wali njegele na nyama, jamani inakuwaje mtoto anamwambia nimejisikia tu kupika hivyo. Kumbe bwana mtoto ameota mapembe baada ya kuanza mapenzi na bwana shemeji.
Shost amekuja kumstukia mtoto akiamka asubuhi ni lazima akatapike bafuni, khaa wewe mtoto ni vipi tena hivi, kumpeleka hospitali akagundulika mtoto ana ki mimba cha wiki 6. Basi shost alimueleza yule mtoto hii mimba itabidi waitoe, mimba ilitolewa ikiwa na miezi mitatu.
Baada ya mimba kutolewa ndiyo shost anagundua kuwa mimba ilikuwa ya mume wake, kwa hasira alimpiga vibao dada, mume wa shost kusikia yale amekwenda police kuriport kuwa shost amefanya bodily harm crime amempiga mtu na kusababisha mimba kutoka. Hii ndiyo kesi inayomsubiri shost na akipatikana na hatia anafungwa.