Ndo mara yangu ya kwanza...!

Ndo mara yangu ya kwanza...!

Kasinde siku ukirudi niletee makdonald tafazali (sijui ndo madonati?)... nasikia ni matamu sana
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nikaingia kwenye thread kuangalia story, I was thinking maybe its her first time to taste dushe mmmh kumbe nilienda mbaliii sana lol..!

stop thinking dirty all the time, let ur brain think of fruits and flowers
 
Ndege ya shirika gani hilo?
Kwani hujaambiwa kuzima simu?

wakati ndege inapaa au inatua ndo unatakiwa kuzima simu au any electronic device au kuiweka on flight mode. Ila ndege ikiwa kule juu mnaruhusiwa kuwasha simu na any electronic devices, na ndege niliyopanda ina wifi ndo internet niliipata hapo. Just google ndege zenye wifi you will see them
 
Hilo tu bestito...

basi ondoa shaka andaa matumbo tuu na vilainisha koo, ila haya ma mc donald hayaendi na beer wala alcohol ya aina yoyote
 
He! Ukinywa na bia unaumwa tumbo?

hahahahhaa usinchekeshe bana looh!! tumbo halitauma ila huku naona wanakula hizo mavitu na juice au soda au milkshake au ma smoothie yaani ni kula kula tuu na utamu utamu mwingii usipoangalia unakuwa wa duara kama mpira ila mie niko keen nimekuja na nguo zangu za mazoezi jioni naendazangu jogging, kama hapa ikifika saa kumi na mbili jioni naenda jogging.
 
Sasa huko mbona kugumu kama wanakula vitu vitamu vitamu?! Milkshake ndio mishikaki? Na kuna chipsi au ndizi za kuchoma? Au hiyo mishikaki inaliwa na nini?
 
Alafu uwe makini huko unakoenda kukimbia usigongwe na piki piki (kwanza kuna boda boda huko?)
 
Kumbe na wewe ni mtundu eeehh looh, we hupendi vitu vitamu? milk shake sio mishkaki bana hahahahhaaa, ni mixer ya maziwa na any tunda au choklate so waweza pata chocklate milkshake, strawberry milkshake etc. chips zipo kwa wingi huku ndo kwake ila sio kama za bongo za huku zumekaangwa zizuri zimekauka safii, tamuuu. ndizi choma hamna labda ufanye bbq mwenyewe nyumbani yaani uchome mishkaki, kuku samaki choma, ndizi choma ndo wala huo msosi na salad pembeni na alcohol kwa sanaaa, ila hivo vingine ndo unapata huko mc donald and kfc and the like
 
Ook... kiukweli mi sipendi vitu vya sukari sukari... nakinai...
 
Uniletee saa ya mkononi. Enjoy.

disigner watch au saa tuu yoyote? kuna saa zile zinauzwa kwenye ndege za duty free dola 100-350, would you like those? ya mkanda wa ngozi au chuma? silver au gold? ziwe two watches in one package(man and woman watch) au single watch?
 
Alafu uwe makini huko unakoenda kukimbia usigongwe na piki piki (kwanza kuna boda boda huko?)

Tuko utanilipa mbavu zangu lakini? kwani kunichekesha hivi? hahahahahahhahahahahaa daaahh!! nakimbia along the compound ninayoishi so mtaa uko cool hauna movement za magari wala motorcycles. Mi tangu nifike hata kwenye main roads sijakutana na pikipiki hata, ni magari tuu. natembea na kukimbia pembeni kabisa mwa barabara hakuna shida, karibu one day hope you will enjoy.
 
Aisee huko kunawafaa wenye hela zaidi. Maana bila boda boda na bajaji ina maana kila mtu lazime apande taksi au dala dala. Mi naogopaga kuja marekani kwa kweli kwa kuwa nahisi kila mtu atakuwa amevaa mlegezo na ukipita barabarani kila mtu mtu anakuita watsaap niggaaaa... au sio?
 
I hope kuku wa kienyeji wapo. Vipi mtu ukitaka supu unafanyaje?

Tuko you are so funny!!! I hope u r not creating this questions kunichekesha, daaah halafu saa kumi na mbili tayari nataka niende jogging, mie sijaona kuku wa kienyeji wala sijakutana nao supermarket, kuku wa huku wote wakubwaa, poa bye see you later naenda jogging now hahahahahaaaa Tukoooo, funny u looh!!
 
Back
Top Bottom