Ndo mara yangu ya kwanza...!

Ndo mara yangu ya kwanza...!

Haya hongera kwako, mpe salamu zangu za shikamoo obama..mwambie huku bongo ajira ni kizungumkuti..
 
aya kila la kheri
10463876_10203281168883056_3070462439305891260_n.jpg

hahaaaaa kama haujapenda kuwa nayo ndo hautaringa ila kama umependa unaringa kwa raha zako...mwe
 
Kuwa makini usije achwa wakati wa kubadilisha flight, maviwanja ya wenzetu makubwa, ukizubaa tu unaachwa.
 
wapendwa nimefika salama hali ya hewa sasa hv ni safi,summer tivme. Nshaanza
kula ma junk food itabidi nifanye jogging vinginevyo ntakuwa kama wao ukizingatia mie mnyamwezig looh!
Ila nimepata shida barabarani yaani kila saa najua dereva amekosea kuingia barabarani kumbe wenyetu wanatumia right hand kuendesha daah tukiingia high way unakuta barabara 5 kuelekea upande mmoja wanavo overtake sasa daah
 
Kuwa makini usije achwa wakati wa kubadilisha flight, maviwanja ya wenzetu makubwa, ukizubaa tu unaachwa.

yeha ila niko mwepesi kwenye kusoma signs na thank God nilifika salama na tangu nimefika nalal masaa 4 tuu masaa 20 napopo looh kweli nimejishindwa
 
Hiyo nayo ni sehemu ya ku-enjoy??

Ahsante sana kwa offer...Ngoja niwasiliane na bibi tuone kama tunaweza kuchangamkia fursa..

Na ticket unatutumia??
hahahahaa babu sasa ukija na bibi itakuwa shuhuli anyawei hapajaharibika neno vizuri uwe na kampani ya mzee mwenzio maana mie nabundi balaa, ntawatumia ticket na kila kitu na mwaliko kwa wote wawili mje kushangilia kombe la dunia kwa Obama
 
Nilishawahi kupata kazi ya kuhudumia mzee mmoja mwenye pesa zake huko ili kusaka mshiko tu. Nenda nawewe ukajaribu bahati yako mama lakini usisahau kubeba Mimba ya Kimarekani ili utokemo....

mie sijaja kufanya kazi huku, nimekuja kupopo, kula life, kula ujana, pesa niliyonayo ikiisha narudi bongo. Mpango wa kuzaa sina wala wa kuolewa, bahati ninayo tayari sitafuti ingine, karibu tule life.
 
Mada imechangamka si mchezo.....mi bado niko tazara,full foleni tumejazana ndani ya DCM naenda kitunda, joto kama kawa,nakuoneaje wivu jimama,we nend a kale maraha state,ila usifanye dili za mapouda huko..!!

hahahhaaaa umenchekesha looh pole kwa joto na foleni, one day yes utakwea pipa tuu wala usihofu looh
 
Hivi Kasinde tupo wote Kigamboni yapata siki ya nne leo ndo umeona uwarushe roho wana JF apa.....lol

Kaizer mwana wa Mungu nina nini nawe? kwani kuniweka kwenye gazeti la udaku? Yaani uniweke kigamboni siku 4 looh ukifanikiwa kunikamata na kunimiliki huko kigamboni nikitoka huko lazima niwe na kizygot tumboni. Kwa jinsi nilivo sleepery sijui kama utafanikiwa kunihifadhi hata kwa nusu saa maana huwa situlii. Niko state now am enjoying the summer time eating outside and bbq kwa sanaa, karibuu
 
Kaizer mwana wa Mungu nina nini nawe? kwani kuniweka kwenye gazeti la udaku? Yaani uniweke kigamboni siku 4 looh ukifanikiwa kunikamata na kunimiliki huko kigamboni nikitoka huko lazima niwe na kizygot tumboni. Kwa jinsi nilivo sleepery sijui kama utafanikiwa kunihifadhi hata kwa nusu saa maana huwa situlii. Niko state now am enjoying the summer time eating outside and bbq kwa sanaa, karibuu

Asantee
 
Lakini kwenye ndege unatakiwa uzime simu, sasa hiyo conection ya net kwenye ndege uli ipateje wakati simu iko off.

wakati ndege inapaa au inatua ndo unatakiwa kuzima simu au any electronic device au kuiweka on flight mode. Ila ndege ikiwa kule juu mnaruhusiwa kuwasha simu na any electronic devices, na ndege niliyopanda ina wifi ndo internet niliipata hapo. Just google ndege zenye wifi you will see them
 
Kasinde sio unatupiga kamba?, sisi wenzio tuliozoea kupanda Abood na Nganga tulisimuliwa kua kwenye ndege hakuna kuwasha simu, you either switch it, on a flight mode or swith off .......lipi ni lipi

sina haja ya kuwafunga kamba just google ndege zinazotoa huduma ya wifi zikiwa angani, one get internet and enjoy the flight ila wakati wa kupaa au kutua marufuku kuweka simu on, either simu izimwe au iwe kwenye flight mode!! umenibamba!!!
 
Back
Top Bottom