Ndo mara yangu ya kwanza...!

Ndo mara yangu ya kwanza...!

kazi ya kuua mbu muachie mkeo bana we ukiamka unajiandaa kwenda job, niko na mwenyeji huku ndo ananipeleka viwanja baada ya mwezi hope ntaanza kutoka mwenyewe, mie sio mjanja ila niko keen!! club nilianzia bongo kula ujana hapa naendeleza tuu kula life

Wife angekuwepo unadhani ningepata mda wa kuwa bize na jf usiku hivi kweli... thubutuu...
Anyway, we kula maisha bana na utuwakilishe kijanja watz tusionekane waluga sana. By the way, huyo mwenyeji ni me au ke?
 
Yani mi nikiwaza sehemu ambayo sitapata supu ya utumbo naishiwa amani kabisa...

hahahahaa nshahisi utakuwa na kitambi cha kula bar wewe looh, ukiongeza na bia la la la laaaah do exercise my friend life is short, but you can prolong it by eating well, exercising and laughing looh
 
Hili niliwahi kuliwaza sana Kasinde; kuwa niishi miaka 80 nikiteseka kwa kunywa maji na kula majani kama mbuzi au niishi miaka kama 60 hivi nikifurahia bia, nyama choma, viburudisho, na hata nikifa niwe na interesting stories za kuhadithia huko kwa Mungu...
Unaweza kuona kwanini nakunywa bia na kula nyama hapo...
 
Wife angekuwepo unadhani ningepata mda wa kuwa bize na jf usiku hivi kweli... thubutuu...
Anyway, we kula maisha bana na utuwakilishe kijanja watz tusionekane waluga sana. By the way, huyo mwenyeji ni me au ke?

hapa nawasiliana na mtu wa bongo kule ni saa kumi na mbili asubuhi, we uko wapi huko ambako ni usiku?
Hujaoa hadi sasa wasubiria nini? there isn't an angel you had one and put her in angle thita she'll do whatever u want and hence good wife, but if u wait for a good wife out there, u aren't gonna marry. Get married bana catch a wife and enjoy life, akina Kasinde ndoa naiogopa kama ukoma crash zilininyemelea ila mmmh nimekimbia I just love myself and I enjoy being single and poporing all night without a man.
Hhaahahahahaaa my host is... is.... is a....a ...... a....... is ...... is .....is a......... hahahahahha he is a man but dont think what ever u want to say coz it is not as u think it is looh.
 
Hahahahha... ok, I am stopping thnking that way about ur host with immediate effect. Mi nimeoa bana ila kusakanya maisha kunanifanya sometimes nakuwa away from the family. I really miss ze utam wa ndoa lakin thanks to jf, inanifanya niwe bize nisipepese mimacho kwa akina MwaJ (na nilivyo na mimacho mikubwa)!!!.

We malizia kwanza ujana sisi tunakusubiri kwenye lichama la ndoa hili... litamu sana ukishalijulia...
 
Hili niliwahi kuliwaza sana Kasinde; kuwa niishi miaka 80 nikiteseka kwa kunywa maji na kula majani kama mbuzi au niishi miaka kama 60 hivi nikifurahia bia, nyama choma, viburudisho, na hata nikifa niwe na interesting stories za kuhadithia huko kwa Mungu...
Unaweza kuona kwanini nakunywa bia na kula nyama hapo...

mmmhhh I cant u, though I didn't mean you have to be a vegetarian and live 80 yrs, and who told you if u live like that you will reach ur 60 happier. Eat well doesn't mean eat grass like goat, no but eat well, everything but little little like buffering. Then exercise everyday and keep ur laughing and avoid sorrow, if u exercise u will regulate the extra food u take its bettere than eat and eat without exercise, in ur 40utaanza na pressure huwezi kulalia mgongo, shuhuli ya kitandani itaishia 45, wakati hiyo unatakiwa kuendelea nayo hadi in ur 60s, mara kisukari mara miguu haiwezi kusimama muda mrefu kwa ajili ya gauts mara unaanza kuwa rafiki wa wamasai kwa kupata dawa za kienyeji then why getting bothered, just plan ur old age today hata pension yako utaiinjoy looh
Sijui hata kwanini nimekupa lecture ndefu hivi .......
 
Daah... asante san kwa ushauri. Hata hivyo usiwe na wasi wasi juu yangu
- mi nachekaga siku nzima kama vile nina bandama mbili.. sikumbuki mara mwisho nilinuna ilikuwa mwaka gani

- exercises pia nafanya... nacheza futbol lakini pia ile michezo ya 6x6 sana tu...

- aina ya kazi ninayofanya pia ni sehemu ya zoezi. Kwa wastani nasimama na kutembea tembea kwa masaa kama nane labda kila siku kutokana na nature ya hii kazi. Pia kwa kuwa natumia baiskeli kwenda job basi huwa napatapo kazoezi.
 
hahahahaa babu sasa ukija na bibi itakuwa shuhuli anyawei hapajaharibika neno vizuri uwe na kampani ya mzee mwenzio maana mie nabundi balaa, ntawatumia ticket na kila kitu na mwaliko kwa wote wawili mje kushangilia kombe la dunia kwa Obama

Kumbe hukutaka nije na bibi ehhhhhhhh???

Basi bwana, hii safari imeshakuwa mang'ana.......

InshAlllah, tutabahatisha next time!
 
Hahahahha... ok, I am stopping thnking that way about ur host with immediate effect. Mi nimeoa bana ila kusakanya maisha kunanifanya sometimes nakuwa away from the family. I really miss ze utam wa ndoa lakin thanks to jf, inanifanya niwe bize nisipepese mimacho kwa akina MwaJ (na nilivyo na mimacho mikubwa)!!!.

We malizia kwanza ujana sisi tunakusubiri kwenye lichama la ndoa hili... litamu sana ukishalijulia...

Hahahahahaaa good boy!! u better not think that way coz Kasinde isn't in that way, now days men r just my company and partners in poporing and bunding nothing more, nimeacha s-e-x kabisaaa tangu nianze kula ujana. u can't bliv but thats it, and this is how Kasinde's life is since I have decided to change and enjoy my youth. Hata crash nimeachana nazo kabsaaa, am not married, am not gonna be married neither I wish to be married and I dont want to. I just want to be single for the rest of my life na wala sitaki kuzaa it will just be me to the end of my life. Kama umeoa thats good, keep ur wife well, leo nimeangalia movie moja ya kimarekani bibi akawa anamwambia mjukuu wake wa kiume ambaye ameoa polisi, mkeo (polisi) anakujibu na kukuongelesha vibaya kwasababu humfanyi vizuri, looh nilichoka nikasema huyu bibi kadata ila alikuwa na poit, if a man doesn't do well his wife, the wife isn't gonna listen and respect that man especially in public, (this just come in between words si kuwa nakufundisha how to be with ur wife but be good to her) sorry kama ntakuwa nimekukwaza looh, nisamehe pia kwa kutoa maelezo marefuuu nakuchosha kusoma looh
We unisubiri uzeeni tuu huko kwenye chama la ndoa mie hamtanipata ng'oo na nnahisi nikizeeka ntakuwa mtata sana sjui why but huwa najiona hivo.....
 
Mh... haya wee. Ila unajua hutaenda club maisha yako yote. Kuna siku utazeeka na utahitaji mtu wa kukupekua chawa kichwani na kukutoa funza kidoleni. Hapo ndo utasema ningalijua mapema ungekuta sasa hivi niko na kamzee kenzangu hapa kando.
Ila hapo unaposema eti hungonoki mi nashindwa kukibali aisee... unless ulikatazwa na daktari...
 
Daah... asante san kwa ushauri. Hata hivyo usiwe na wasi wasi juu yangu
- mi nachekaga siku nzima kama vile nina bandama mbili.. sikumbuki mara mwisho nilinuna ilikuwa mwaka gani

- exercises pia nafanya... nacheza futbol lakini pia ile michezo ya 6x6 sana tu...

- aina ya kazi ninayofanya pia ni sehemu ya zoezi. Kwa wastani nasimama na kutembea tembea kwa masaa kama nane labda kila siku kutokana na nature ya hii kazi. Pia kwa kuwa natumia baiskeli kwenda job basi huwa napatapo kazoezi.

Thats good,
 
Mh... haya wee. Ila unajua hutaenda club maisha yako yote. Kuna siku utazeeka na utahitaji mtu wa kukupekua chawa kichwani na kukutoa funza kidoleni. Hapo ndo utasema ningalijua mapema ungekuta sasa hivi niko na kamzee kenzangu hapa kando.
Ila hapo unaposema eti hungonoki mi nashindwa kukibali aisee... unless ulikatazwa na daktari...
hahahahhaa bliv me, I dont trust men so I cant let them do me, I just cant dont ask me why, habari ya huko uzeeni ntapata tuu wa kunichezea kichwa ila si kunitoa chawa na funza ila wa kunikwangua mba na kunikata kucha za miguuni, kwani wapo wazee wanaokuwa wamefiwa na wake zao au ambao walikuwa maseja kama mie ntazeeka nao pamoja so naamini sitakuwa mpweke.
Sijakatazwa na daktari ila I stop it myself na ikitokea a man tries to had me on bed namchukia for good na sitakaa niwasiliane nae tena. Thats it niliyofanya huko nyuma yanatosha sasa nainjoy myself as Kasinde
 
Sorry, I am still tempted to ask you why... yani kwa sababu ulikula kibua akakunukisha shombo basi unawachukia samaki wote?!!! Hapana bana, hebu jaribu jodari, perege, sangara, dagaa, na ukiweza hata papa. Kila samaki ana ladha yake ujue...
 
Hahahahahaha dont tempt me bana unanikumbusha mapishi ya bamia looh, men I was in love with them before now they r my friends and company, ukipata mtu aliye karibu nami atakusimulia love life with men to me is closed, I love myself. Go ahead ask me anything I will answer you ila shombo iko kwenye akili so hata nikipita kwenye meza ya pweza shombo inanijia na nashindwa kula kabisaaa
 
Kuna sentensi hapo kati unasema "love life with men to u is closed"... I believe I wont be offending u if I ask 'so is love life continuing in u but not with "men kind"?'...
 
Sasa ngoja kila mtu aanze kusema alipo, lol..
....mie nipo hapa kibanda maiti, nilivyokuja na "Flying Horse" nilitapikaje!!
...nikupongeze Kasinde kwa kukwea pipa..

Hahahahhh. Mkuu tutafutane! Mie niko mkutanoni hapa Bwawani Hotel, nilikuja kwa Azam II tangu jumatano.
 
Kuna sentensi hapo kati unasema "love life with men to u is closed"... I believe I wont be offending u if I ask 'so is love life continuing in u but not with "men kind"?'...

Nop hahahaaa Tukooo, am not screwing myself naah!! looh! instead of having intercourse with men I love myself by eating well balanced diet, exercising, dancing, outing with companies, dress well, keep myself up-todate, etc and the like.
 
Haki sikuwezi... usiku mwema bana. Bosi kafika wacha nianze kazi.
 
Back
Top Bottom