Mara nyingi huwa napenda sana kusafiri na njuka....huwa inanikumbusha safari yangu ya kwanza...!!
Ila safari za kwa Obama zinakera sana!
zinakukera connection? Hukawii kujikuja umeelekea Afghanstan.
Hongera zako bibie...
Mi mwenzio safari zangu ni za Gmboto -mnazi mmoja...Nikipata zali labda nimealikwa Tegeta Kibaoni kwa mtu fudenge humu..!! Kila la heri bidada..!!
Wenzako wapo mikocheni B wakipokea na kudaka miguu ya kwenda Ulaya. We ulikua wapi best?
Hahahaaa... Kwa wale watakao elewa tu lakini.
Sipendi kwenda nje kuna ubaguzi sana
tabora je!???
Wanyamwezi hawana shida. Nategemea kwenda late July
Just like the old days
nimelaik nikaona haitoshi. Yaani hapa nacheka mpaka machozi. Huwa nabaki mdomo wazi pale napoona watu wazima wakidaka safari toka kwa askofu "pokea safari ya china, pokea safari ya amerikani" halafu watu wazima wanaruka kwa furaha, wanadaka huku wengine hata wakiwa hawana paspoti. Kali kuliko zote ni pale wanapopokea gari, hihihihihihiiiiii,,,pokea funguo funguo za gari lako, ameeeeeeeen! Wanadaka funguo za kufikirika halafu wanaambiwa wawashe gari. Hapo hata kama huna bandama lazma ucheke. Watu wazima wanawasha gari, mkono mmoja umeshika usukani, mwingine unawasha. Wanasema, "chonyonyonyooo" halafu wanaitikia njii njii njii njiiiiii. katikati ya kicheko unashtuka kuwa hili ni janga, unaingiwa na huzuni unahamia chaneli nyingine.
nimekuja mbio kumbe aaargh
utanikuta huko.. inshallah.

Hahahahahaha daaa jf raha tupu!nimelaik nikaona haitoshi. Yaani hapa nacheka mpaka machozi. Huwa nabaki mdomo wazi pale napoona watu wazima wakidaka safari toka kwa askofu "pokea safari ya china, pokea safari ya amerikani" halafu watu wazima wanaruka kwa furaha, wanadaka huku wengine hata wakiwa hawana paspoti. Kali kuliko zote ni pale wanapopokea gari, hihihihihihiiiiii,,,pokea funguo funguo za gari lako, ameeeeeeeen! Wanadaka funguo za kufikirika halafu wanaambiwa wawashe gari. Hapo hata kama huna bandama lazma ucheke. Watu wazima wanawasha gari, mkono mmoja umeshika usukani, mwingine unawasha. Wanasema, "chonyonyonyooo" halafu wanaitikia njii njii njii njiiiiii. katikati ya kicheko unashtuka kuwa hili ni janga, unaingiwa na huzuni unahamia chaneli nyingine.
Ni kweli ni bahati,kuna mambo ya kupata visa ambayo sometime ni shida,kuna nauli na unaenda kwa nani so ukipata vyote hivyo inakuwa ni bahati kweli maana mtu unakuwa unafanya UTALII hilo ni neno geni kwetu.Hata ulaya na Marekani kuna raia wanatamani kutembelea nchi nyingine ila na wao wanapata changamoto zao so wanafanikiwa wanasema wamebahatika....labda kama kuna hoja tofauti na hiyo
aya kila la kheri
![]()