Ndo mara yangu ya kwanza...!

Ndo mara yangu ya kwanza...!

Nilikuwa na ndugu yangu mmoja tuko kwenye Tube bahati mbaya akafaint dah washenzi wale walikuwa wanatutizama tu.


Just like the old days

mkuu huo sio ubaguzi....ni system ya maisha issue kama hio ikitokea unapiga simu ambulance/police watakuja pale ndani ya dakika chache.....hio afadhali kuna mshkaji alipata ajali akabanwa ndani ya gari halafu petrol inaanza kuvuja,watu wengi walikuwa wanataka kusaidia wakiwemo wazungu lakini polisi wakaweka uzio hamna kuingia hapo hadi zimamoto wenye kazi yao waje...Mungu mkubwa zimamoto waliwahi wakamtoa jamaa ilikuwa roho mkononi
 
Hivi kwenda marekani ni bahati? yaani linaitwa zali? bado tuna kazi ndefu tu...

kwa wengine ni bahati na zali...kwani kila mtu ndani ya JMT ana uwezo wa kwenda marekani??? wacha hao wachache kama kasinde wajione wana zali.
 
uuuuuwiii mimi dar napasikia...nimezaliwa sitimbi...maisha yangu sitimbi....nikiona lami ntafurahiije...
Kasinde nasubri crush+popo wa obama+wabeba box wape hi
 
Last edited by a moderator:
uuuuuwiii mimi dar napasikia...nimezaliwa sitimbi...maisha yangu sitimbi....nikiona lami ntafurahiije...
Kasinde nasubri crush+popo wa obama+wabeba box wape hi

kuna watu hawajawahi toka nje ya kijiji chao miaka nenda rudi!
 
Last edited by a moderator:
aya kila la kheri
10463876_10203281168883056_3070462439305891260_n.jpg

mm napenda jibia hyo picha kidoogo- kwani mimba ni kilema? ataringa tuu akiishaishusha.. tchaaa:hail:
 
Yule Dr wa kaka Lukosi anahitajika pia kwa huyu dada anaweza kumsaidia sana
 
Sasa ngoja kila mtu aanze kusema alipo, lol..
....mie nipo hapa kibanda maiti, nilivyokuja na "Flying Horse" nilitapikaje!!
...nikupongeze Kasinde kwa kukwea pipa..

Hahahahahahaa haya bana, ila angalia isije siku ukaamka ukajikuta maiti looh,

By the way mie huwa sidanganyi info zangu ni za kweli mie huwa namwaga tuu humu matukio ninayokutana nayo na huwa ni real, karibu kwa Obama.
 
Hivi kwenda marekani ni bahati? yaani linaitwa zali? bado tuna kazi ndefu tu...

My dear in this world we differ, tu u sio zali ila tu me ni bonge ya deal I hope na watu wengi tuu ni deal. Naweza kuwa nina milioni kumi kwangu nikaona ni chenchi ya sokoni ila mwingine ndo anakuwa ametoka kimaisha na akajiona yuko Ikulu. sos dont judge pple as if all are living in the same life stlye and standard!!! Just for ur information!!
 
Dah, kashinde leo hajapata crush, basi huko kwa Obama naona atakufa kwa presha.

hahahahahhaaaa, sitaki kuusemea moyo ila nataka nijilipue vya kutosha huko kwa Obama with restriction of kicks, there willl be no kicks at all, it will be dancing, riding, drinking and all other staffs ya kula ujana looh. Crush sku hizi nazikimbia
 
Back
Top Bottom