Hahahahahahaa haya bana, ila angalia isije siku ukaamka ukajikuta maiti looh,
By the way mie huwa sidanganyi info zangu ni za kweli mie huwa namwaga tuu humu matukio ninayokutana nayo na huwa ni real, karibu kwa Obama.
Hongera zako bibie...
Mi mwenzio safari zangu ni za Gmboto -mnazi mmoja...Nikipata zali labda nimealikwa Tegeta Kibaoni kwa mtu fudenge humu..!! Kila la heri bidada..!!
Hatuwezi tunaogopa hepatitis bWacha weee....
Safari njema....
Wabeba maboksi mpokeeni huyo....
Kwa obama kukubwa ujue....wapi exacly utafika(mji)
Wenzako wapo mikocheni B wakipokea na kudaka miguu ya kwenda Ulaya. We ulikua wapi best?
Hahahaaa... Kwa wale watakao elewa tu lakini.