Ndio tarehe zake hizi

Ndio tarehe zake hizi

attachment.php

OLESAIDIMU utaweza kulala hapa kweli mkuu?
Adventure kitu kizuri sana kaka mkubwa ila isiwe karibu sana na kifo Eiyer!!!!
 
Last edited by a moderator:
kaka utafiti nipo mjini sasa, naona ulipotea kidogo....

Nashkuru kuwakuta wote wazima kaka, nikweli nililazimika kua nje ya uwanja kidogo ila sasa nimerudi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha ndio wakoje hao mkuu?

Wanapokea mshahara baada ya miezi sita. Mshahara wa mwisho ulikuwa wa April, wanategemea may be September ndo watalipwa tena. Halafu wamepewa amri kwamba mfanyakazi yoyote asiyeonekana kazini kibarua kinaota nyasi.
 
Duuh baada ya miezi sita??? Si nitasahau signature yangu?
 
Wanapokea mshahara baada ya miezi sita. Mshahara wa mwisho ulikuwa wa April, wanategemea may be September ndo watalipwa tena. Halafu wamepewa amri kwamba mfanyakazi yoyote asiyeonekana kazini kibarua kinaota nyasi.

Umenikumbusha wakati niko Bongo ndo nimeanza anza kutafuta ajila nikapata sehemu mmoja hivi Mshahara miezi na miezi inapita ujapata Sikuku zikifika zile za kidini Boss anatoa elfu 20000/= kwa kila mfanyakazi ha!ha! Nimetoka mbali ila nashukuru alinifundisha kuvumilia
 
Back
Top Bottom