Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
salary management .hahahahahMwambie huyo mhindi wako mkuu kuwa una marafiki na wanakuhitaji pia mkuu kabanga
Cc utafiti, Ntuzu, Mndengereko, Tized
salary management .hahahahahMwambie huyo mhindi wako mkuu kuwa una marafiki na wanakuhitaji pia mkuu kabanga
Cc utafiti, Ntuzu, Mndengereko, Tized
dawa yao kuwaibia tu!!!Jiuguze then ukanunue Kadi hospital basi napata Wewe pumzika na baniani nakosa sema neno yoyote!
Au Mwanangu mbinu mbinu nyingi hapo ofisini unapiga Pesa ndio Maana hutaki pumzika!!?
Cc: Mr Rocky Tized Mndengereko
tupo mkuu ila na wewe ulikuwa umeadimika kwma huko?
Yani unapiga Pesa balaa Alafu kila unavaa nguo hizo hizo zimechakaa Na Ka simu kabaya!
Khe Khe Khe
Kuna jamaa kaugua dengue kidogo aage dunia, kurudi kibaruani kwake muhindi anamwambia ulikua huumwi wewe nafanya kazi nyengine, rudi nyumbani kazi basi
im gladyou are back mkuu karibu sana jamvini.Kwema kabisa kaka, nilikua nasimamia issue flani hivi ila imekamilika. Nashukuru kuwakuta wote wazima
teh teh teh ndo tatizo la kutokuwa na contract.Kuna jamaa kaugua dengue kidogo aage dunia, kurudi kibaruani kwake muhindi anamwambia ulikua huumwi wewe nafanya kazi nyengine, rudi nyumbani kazi basi
huwezi kupiga maendeleo ya kutosha ukiwa kwa wahindi wakoloni bora hata hawa wa sasa dawa unawaibia alafu unasepa iko hajui hata pa kukutaftiaYani unapiga Pesa balaa Alafu kila unavaa nguo hizo hizo zimechakaa Na Ka simu kabaya!
Khe Khe Khe
Hahahaaaaa
Mkuu veve oga sanaeee!?