Inshaallah KiongoziHakika mkuu, tuliowahi kupata japo siku mbili Raajab za kufunga alhamdulillah na tusiopata basi tujitahidi ndani na Shaaban
![]()
Na upendo kwa akinadada huongezeka nyakati hizi
Kama kuna alichokunyima atajidai yupo karibu sana na wewe
Hizi nyakati bana!
Asubuhi utasikia "baby naomba unywe chai mda unaenda" mchana utaulizwa dear lunch tayari?" jioni kidogo "baby umeshindaje? Pole na kazi" haahhaha