samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
Ki-activate kidevu kwa kunyoa-nyoa kila mara, kama mara mbili kwa wiki hivi kwa kutumia machine au wembe. Hakikisha unatumia aftershave, lasivyo zitakapofurumuka uwezekano wa kupata vipele utakuwa mkubwa. Pre-shave au aftershave cream/splash zinapunguza vipele kutokea, although mara nyingi nijuavyo vinatokea kutokana na nature ya mtu na namna anavyo nyoa.
Miss judith mbna unaniangusha yani kwakuwa nimepewa meno, miguu na n.k ndio nisihoji ndevu mmi! Hii ni sawa na Tanzania iliyona'amani lkn wananchi wake wasihoji juu ya umaskini je, ni sawa?
kitaalamu inasemekana watu wenye kutoota ndevu wana homony nyingi za kike
Ungekuwa karib yangu ningekulamba shaba,
sasa kama hajapewa ndevu unauhakika gami kuwa hajapewa hiko kingine?HUWEZI KUNYIMWA VYOTE BHANA!!Mwanaume amepewa ndevu.
Mwanamke amepewa matiti.
Wewe haupo kati ya hayo makundi mawili.
diva huu ushauri hapana,. sa ivi vidonge si vita sababisha maziwe yaote tena, bora kuwa na homoni nyingi zaa kiume kuliko za za kike aiseenenda hsptl wakakupe vidonge vya kupunguza hormone za kiume. unazo nyingi kuzidi kiwango ndio mana. zikipungua zitaota tartiiibu
Njoo lugalo hapa jeshini..tulimnyoa juzi dereva wa dala dala kwa mikono..kila zikianza kuota we ni bip tu nikupe appointment bwaloni huku tunazigonga bia za 1150 bei chee tukilewa tunaanza kukukarabati kwa kuzinyofoa!! karibu sana!!
nenda hsptl wakakupe vidonge vya kupunguza hormone za kiume. unazo nyingi kuzidi kiwango ndio mana. zikipungua zitaota tartiiibu
Nyoa ukishamaliza paka majivu na mavi ya nguruwe kwa day 3! dawa tosha hata KIBWENGU alilijua hili!