In my opinion you are definitely wrong...Mleta mada nilivyomuelewa mimi na bila shaka na wengine wengi ni kuwa anashutumu kitendo cha ununuzi wa ndege, na siyo suala la priorities....mleta mada ni miongoni mwa wale wanaoshutumu almost everything cha maendeleo kinachofanywa na serikali hii....wamejipanga kwa kampeni chafu, kwa kutumia mitandao, vyombo kadhaa vya habari, baadhi ya NGO's na kadhalika...wanakebehi kila kitu kinachofanywa na serikali na Rais...kila hotuba inayotolewa na Rais wanaichambua na kuanza kujenga hoja kwa kuangalia maneno, sentensi na kuacha maudhui au maana nzima ya hotuba hiyo kwa ujumla wake kwa jamii...Suala la ununuzi wa ndege ni muhimu kwani haiwezekani nchi kama yetu isiwe na national airline katika dunia ya sasa....