Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

Thanks...lakini kumbuka pia demokrasia pasipo wajibu ni disaster...ni kweli watu wa ndioooooooooooooooooooooooo wakati mwingine wanaweza kuwa hawaisadii nchi lakini ni kweli kabisa kwamba watu wa hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kila kitu nao ni tatizo na janga la kitaifa....

Perfect!
 
Hakuna dawa, hiyo ni fact, kama hazipo. Therefore ndege zisingenunuliwa kungekuwa na dawa? Is that what you wanna say?

Sijui, nasema kwa vile anajinasibu na wanyonge, wanakufa kwa kukosa dawa. Kama unanunua ndege hakikisha na dawa zipo
 
Nadhani hata vibaka wakikamatwa, hafaidiki kwa pilots kwa kuwa hana cha kuibiwa!!!!
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Hazitasaidia bibi yako wa kijijini, zitasaidia bibi wa mjini
 
Ngoja Tuone Wanafunzi Wanaokosa Mikopo 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Wamama wanaotozwa Kujifungua 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Waalimu wanaocheleweshewa Mishahara 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Wazazi walioahidiwa, "hakuna Kulipa Kalo" 2020 Magu atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Watu wanaofiwa na Ndugu zao Kwa Kukosa Madawa 2020 Magu atawaonyesha Ndege!

Magu alidandia Sera za UKAWA, Bila Kujua wangezitekeleza Kwa Mikakati Gani, Si Mnakumbuka alipora hata Nembo ya M4C? Kibaya zaidi Haamini Kama Kuna Asichojua! Kama Magu hatajishusha na Kusikiliza wanaofahamu Jinsi ya Kusimamia Nchi, By 2017 Tanzania Itakuwa kama Uganda ya 1975!
 
Mh alihudumu miaka 30 humo humo ccm
Learn the notion that; If you cannot fight them, (you) join them!!!! else hangeliweza kupata nafasi ya kufanya kazi nzuri anayoifanyia Tanzania kwa sasa hence Kudos Rais Magufuli.
 
Ngoja Tuone Wanafunzi Wanaokosa Mikopo 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Wamama wanaotozwa Kujifungua 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Waalimu wanaocheleweshewa Mishahara 2020 Magu Atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Wazazi walioahidiwa, "hakuna Kulipa Kalo" 2020 Magu atawaonyesha Ndege!
Ngoja Tuone Watu wanaofiwa na Ndugu zao Kwa Kukosa Madawa 2020 Magu atawaonyesha Ndege!

Magu alidandia Sera za UKAWA, Bila Kujua wangezitekeleza Kwa Mikakati Gani, Si Mnakumbuka alipora hata Nembo ya M4C? Kibaya zaidi Haamini Kama Kuna Asichojua! Kama Magu hatajishusha na Kusikiliza wanaofahamu Jinsi ya Kusimamia Nchi, By 2017 Tanzania Itakuwa kama Uganda ya 1975!
Aliyekuwa anasema M4C ndani ya ccm ni Mhe J Makamba na siyo Magufuli by then.
 
Sio Kweli Unakumbuka Nembo hii Iliyozua Kesi?
mc4.jpg
 
Uliza pia hostel zinazojengwa chuo kikuu cha Dar es salaam zinamsaidiaje bibi yako. go Magufuli maneno ya watu yasikurudishe nyuma na jitihada zako za kweli kweli...
Nisaidie faida ya ndege mkuu
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Elimu elimu elimu!!
 
Acha ujinga ww,ndege hazikununuliwa ili kila mtu apande maana sii huduma ya bure,lakini anayepanda anamwakilisha na asiyepanda.

Gharama hizo za usafirishaji ndizo baadaye hulisaidia taifa na wananchi akiwamo huyo bibi yako kupata huduma za mhm kama maji,elimu,afya bora na mengine.
 
Nilikuwa sijui
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
ndege ina uhusiano na ndugu yako anayefanya kazi kwenye hoteli kwenye hifadhi za taifa kwenye kampuni za usafiri watalii. yule ndugu yako anayepandisha watalii mlima kilimanjaro. yule ndugu yako anayefanya kazi viwamja vya ndege na yule anafanya kazi uhamiaji..etc etc.
 
BOEING DREAMLINER.....hii ndege imewauma saana......salute JPMMMMMMMMMMMM
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.

Lami itakayowekwa kijijini kwa bibi yako inamsaidiaje mjomba wangu za Biharamulo?
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Je Madawati yanamsaidia nn bibi yako kijijini?
Je, Mikopo ya wanavyuo?
Mpuuzi ww [emoji35] [emoji35]

~Cmb
 
Back
Top Bottom