Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Una IQ ndogo sana
 
Kwani lazima upande ndege, ukiona shida tumia viroba maana ndiyo kawaida yenu.
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Maswali yako mazuri ngoja nikujibu kidogo kulingana na akili yako ilivyo;

1. Ndege usaidia watalii kufika ktk nchi yako kwa urahisi. Ambao hao watalii uongeza pato na kukuza uchumi kwa kulipa kodi ktk nchi yako. Pamoja na kuajiri badhi ya watanzania
2. Ndege utumika kutangaza nchi yako kimataifa
3. Uongeza ajira kwa watanzania
4. Kukuza pato na kubust uchumi wa nchi. Fedha hizo utumika kutatulia changamoto mbalimbali ktk nchi yako. Mfano. Kuboresha huduma za afya na elimu, kujenga barabara unazotumia kurudi kwenu kijijini, kusambaza maji mijini na vijijini na nyingine nyingi.
Naamini hapo bibi yako atakuwa amesaidiwa na wewe pia.
Mim ni mpinzani lakini penye ukweli lazima nikubali tu. Magu ni aina ya Rais niliyekuwa namsubiri kwa miaka mingi Ktk nchi yangu Tanzania.
lete swali lingine tafadhali
 
Mkuu bibi yako anaishi Tanzania ya wapi ambayo hakuna rami?maana hata kigoma cku hz wanaona Lami,hlf hzo ndege siyo lazima upande ww hiyo hilo dege litakalokuwa linatako marekani mpaka tz direct litatuletea watalii hivyo hotel zote zitapata Wateja.vile vile ww na bibi yako mtasuka mikeka ya kuwauzia hao watalii.
 
Watalii au sio? Haya
 
Maswali yako mazuri ngoja nikujibu kidogo kulingana na akili yako ilivyo;

1. Ndege usaidia watalii kufika ktk nchi yako kwa urahisi. Ambao hao watalii uongeza pato na kukuza uchumi kwa kulipa kodi ktk nchi yako. Pamoja na kuajiri badhi ya watanzania
2. Ndege utumika kutangaza nchi yako kimataifa
3. Uongeza ajira kwa watanzania
4. Kukuza pato na kubust uchumi wa nchi. Fedha hizo utumika kutatulia changamoto mbalimbali ktk nchi yako. Mfano. Kuboresha huduma za afya na elimu, kujenga barabara unazotumia kurudi kwenu kijijini, kusambaza maji mijini na vijijini na nyingine nyingi.
Naamini hapo bibi yako atakuwa amesaidiwa na wewe pia.
Mim ni mpinzani lakini penye ukweli lazima nikubali tu. Magu ni aina ya Rais niliyekuwa namsubiri kwa miaka mingi Ktk nchi yangu Tanzania.
lete swali lingine tafadhali
Au sio? Dah mwanangu we ni noma,unashusha nondo hatari
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Mwaka juzi Waliopiga Kampeni kwa Helkopta [emoji576] wanaujua UMUHIMU wa ndege [emoji574] na wana majibu mazuri kuliko wale waliofanya kampeni kwa gari[emoji593].

JF kuna maswali magumu humu[emoji12] [emoji12]
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Hayo ni mawazo hasi. Ni hivi, ndege hizo zikileta watalii ambao wataingiza fedha za kigeni ambzo zitajenga uchumi. Huduma za jamii zitakazotolewa na mchango wa watalii hao ndo zitakazomfaidia bibi yako. Si lazima azipande. Inawsekana hata wewe hutazipanda lakini mwisho wa siku utafaidika. So simple.
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Mfano barabara iendayo Mpwapwa toka kibaigwa (Mbande) ni vituko vitupu...........halafu tunadanganywa na ndege
 
Uliza pia hostel zinazojengwa chuo kikuu cha Dar es salaam zinamsaidiaje bibi yako. go Magufuli maneno ya watu yasikurudishe nyuma na jitihada zako za kweli kweli...

Hostel wata kaa watoto na wajukuu wetu.
98% ya wanzania wazaliwa na kufa bila kupanda ndege.
Bora angeanza na ujenzi wa RELI angekuwa amefanya la maana.
 
Back
Top Bottom