ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,109
- 49,811
Nawakumbusha tuu Kwa wasiojua ni kwamba uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar ni uwanja wa 3 ulio busy hapa Afrika Mashariki baada ya Jomo Kenyatta International Airport na Julius Nyerere International Airport Kwa kusafirisha wasafiri wengi,hakuna Cha Entebe,Kigali Wala Mombasa Airports..
Kwa Sasa uwanja wa AAKIA ndio unaongoza Tanzania Kwa kupokea Wageni wengi wa Kimataifa (international visitors) baada ya Kuupita Uwanja wa Ndege wa JNIA Dar.Ndio kusema uwanja Wetu wa Dar unauoita wa Zanzibar Kwa wasafiri wa ndani ya Nchi tuu.
Kwa mujibu wa data kutoka Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania TAA kama zilivyonukuliwa na gazeti la the Citizen,zinaongesha kwamba mwaka 2022 ,Abeid Amani Karume Airport ilisagirisha Abiria milioni 1.77 (40% growth) dhidi ya Abiria milioni 2.4 (64% growth).
Kufuatia Ongezeko kubwa la Watalii mwaka huu wa 2023,Kuna uwezekano Uwanja wa Kimataifa wa ndege wa Abeid Amani Karume ukafikisha Wasafiri milioni 2 hivyo kuukaribia kabisa uwanja wa ndege wa JNIA Dar.
Mwisho congrats nyingi Kwa uwanja wa ndege wa KIA Kwa kujitahidi..
My Take
Umoja ni Nguvu na Utengano ni hasara.