Habari zilizotufikia hivi punde ndege aina ya sessna imeanguka
uwanja wa ndege wa mwanza muda si mrefu na kuua watu wote na hakuna aliepona,,katika ndege hiyo kulikuwapo watanzania na wacanada,,mpaka sasa tunavyoandika maiti bado zina tolewa vipendevipande,,mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi
tunaitaji sala zenu wana JF
So far nimecheck nawatu wa karibu Mwanza wanasema hamna report yoyote ya ajali... subiri nitafute contacts zaidi.
Ajali zimezidi sasa,
mererani
morogoro
mwanza
this is bad