Ndege ndogo yaanguka Mwanza!

TAIKUBWA

Senior Member
Jan 20, 2008
115
1
Habari zilizotufikia hivi punde ndege aina ya sessna imeanguka
uwanja wa ndege wa mwanza muda si mrefu na kuua watu wote na hakuna aliepona,,katika ndege hiyo kulikuwapo watanzania na wacanada,,mpaka sasa tunavyoandika maiti bado zina tolewa vipendevipande,,mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi
tunaitaji sala zenu wana JF
 
Daah... mbona inatia majonzi!! Naomba Mwenyezi Mungu Awalaze Mahali Pema Peponi Wote Walioangamia. Amina.


SteveD.
 
Mwenyezi Mungu awape amani waliotangulia. Jamani hizi ndege aina ya cessna zina matatizo gani?
 
Habari zilizotufikia hivi punde ndege aina ya sessna imeanguka
uwanja wa ndege wa mwanza muda si mrefu na kuua watu wote na hakuna aliepona,,katika ndege hiyo kulikuwapo watanzania na wacanada,,mpaka sasa tunavyoandika maiti bado zina tolewa vipendevipande,,mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi
tunaitaji sala zenu wana JF

Ilikuwa na abiria wangapi? TAIKUBWA kama mumeishajua na ailikuwa ikitokea wapi?
 
So far nimecheck nawatu wa karibu Mwanza wanasema hamna report yoyote ya ajali... subiri nitafute contacts zaidi.
 
steve D,

Hakikisha na mie najaribu kumtafuta RPC wa Mwanza ili kukikisha hili
 
In Short Hatuwezi Cheza Na Maisha Ya Watu,,ndege Ilioanguka Ni Ya Auircaree Ya Wahindi Reg As 5h Apk,,more Details Piga Airport Wakupe Full Details Wakuu.

Tuzidi Kuwaombea Imebidinitafute More Info Naona Wengi Bado Wana Machungu Na Tar 1a Pril
 
na waliokufa ni foreigners wa australia canada na hispania
more info stay tune
raha ya milele uwape ee bwana
na mwanga wa milele uwaangazie
wapumzike kwa amani
amen
 
Inasikitisha sana, nashindwa kusema poleni wafiwa sababu ni msiba wetu wote watanzania na ni ngumu kujua kama kuna ndugu zetu wa karibu au la! Wacanada? !!Watanzania?!! Sio wafanyakazi wa Barrick kweli?!!!

Any more information?
 
Kama kuna mtu yeyote angeleta habari za kuandika ndege ni ndugu yetu huyu na ninaamini anasema kweli.

Ni msiba mwingine wa Taifa. Anayejaribu kumtafuta RPC mwanza hawezi kumpata sasa... watu wanakimbilia Pasiansi kule ...
 
inaonekana labda ni hali ya hewa mimi si tcaa tuwasubiri wenzetu watasemaje....innalilah rajueen
 
TAIKUBWA, nami nimeongea na Mwanza tena, ni kuwa ajali imetokea, ilikuwa ndege ndogo, wote waliokuwemo wamefariki. Nimeambiwa walikuwa wanafanya mazoezi (nafikiri ya kirubani)

SteveD.
 
Ni kweli ndege imeanguka na hakuna aliyenusurika...eehh mola wapokee mkono wako wa kuume marehemu wote, maana sote tutarudi mavumbini...amina
 
nimesikiliza si muda mrefu hio habari imetolewa walikuwamo marubani wawili wa kigeni wakifanya mazoezi mmoja alitoka na kiti na mmoja alibaki kwenye ndege na imeungua yote inasemekana imeanguka majabalini na ni vigumu gari kufika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom