Ndege ndogo yaanguka Mwanza!

Nasi Tutengeneze Maisha Yetu Ya Mbele Kwa Kutenda Yale Yali Mema

ni kweli, duniani tunapita tu hapa.

miongoni ya mema kuishi vizuri hata hapa ha jf japo hatujuani.

ila kuchangia kwa lugha nzuri, kutofautiana kwa adabu, na kukosawana kistaarabu ni sehemu ya mema.

hata ktk maneno na maandishi tunatengeneza maisha yetu
 
Unayemtafuta RPC wa Mwanza, wewe unauhusiano gani nae wa yeye kukupa wewe kwanza michongo inayohusu Taifa? Kama ni rafiki au mjomba wako hatakiwi kukuambia. Kujuana katika maswala rasmi ni aina ya ufisadi.

Lakini kama wewe ni ofisa wa Ikulu au bosi wake RPC, basi unatakiwa uongee nae kwanza kabla ya kutupa vimichongo kwamba unaenda kuongea nae.

Kama wewe ni mwandishi wa habari sawa, lakini ungejua kwamba ongea nae kwanza ndio utuletee michongo. Sio kutuambia eti namtafuta RPC!
 
mtu wa pwani wamegee tena hii naona mambo yanaiva

ni kweli, duniani tunapita tu hapa.

miongoni ya mema kuishi vizuri hata hapa ha jf japo hatujuani.

ila kuchangia kwa lugha nzuri, kutofautiana kwa adabu, na kukosawana kistaarabu ni sehemu ya mema.

hata ktk maneno na maandishi tunatengeneza maisha yetu
 
wana JF tujadili nini cha kufanya kuzuia ajali za ndege kule kwetu tanzania maana hata huku tulipo zipo ila inabidi wenye udhoefu tunaomba wachangie mada jamani,,,,tumeona ajli za mabasi zimefululiza mpaka tukaambiwa kila gari speed gavana wakala hela zetu wakina sumaye na wenzake,,,ajali zinaendeleaa,,wamekuja wengine tuaambiwa askari wanaongezeka kila baaad ya mita kadhaa wapi ":"""ISRAEL BADO ANAKULA KICHWA"" so hivi punde kaja mkuu KOMBE naye anayake ya kuzuia ajali bado na si hilo nimeambiwa siku hizi folen haziishi dar es salaam jamaa ameshindwa kabisa kucontrol hata """TRAFFIC JAM"" aje kuzuia ajali,,so wenzangu wa anga tusaidiane kuelekeza nini cha kufanya,,,kuna ajali ya mbeya ya ndege watu wamechuna tukahisi yanaisha kumbe "mkuu ISRLE"" YUKO safarini....
je kuanguksa kwa ndege nini chanzo

2)))HALI YA HEWA???

1))NDEGE MBOVU??

3))MARUBANI WANAKUWA SI MAKINI

5))AU UFISADI NDANI YA NDEGE

4))DHAMBI ZIMEWALEMEA HIVYO ISRA ANAPUNGUZA LUPU

KWENU WAPENDA NCHI
 
Ndege imeanguka Mwanza na watu wamepoteza maisha.Badala ya kuhabarishana,watu wanaanza kutumia thread hii kupigana vijembe kama kwenye taarabu.
Ah,wakati mwingine inatia kichefuchefu.
 
Jamani tuweke standard za JF maana naona kuna wadau wengine hawako serious kabisa.....
 
dahhhhhh....
Wafiwa wote nawapa pole sana kwa hili tukio...
May the souls of the dead rest in peace!
amen
 
Ndege imeanguka Mwanza na watu wamepoteza maisha.Badala ya kuhabarishana,watu wanaanza kutumia thread hii kupigana vijembe kama kwenye taarabu.
Ah,wakati mwingine inatia kichefuchefu.

Mwanzoni tulikuwa hatuna taarifa za kuaminika. Tusingeweza kujadili kama ni makosa ya rubani, hali ya hewa, au uwanja mbovu na kadhalika. Hatukuwa hata na uhakika kwamba ajali imetokea. Sasa hivi habari ziko magazetini. Katika ule mchanganizo na uvurungu wa habari kamili ndio vijembe vikaanza. Lakini kama ulifuatilia -na sikulaumu kama hukufuatilia kama uliona ni mipasho ya taarab -basi ungeona vijembe vilikuwa virarushwa upande mmoja tu, na mkuu mmoja humu, ambae naona ni alwatan hapa JF. Hata hivyo, nuhusi yako imefika.

Wafiwa tunawapa pole.
 
wana JF tujadili nini cha kufanya kuzuia ajali za ndege kule kwetu tanzania maana hata huku tulipo zipo ila inabidi wenye udhoefu tunaomba wachangie mada jamani,,,,tumeona ajli za mabasi zimefululiza mpaka tukaambiwa kila gari speed gavana wakala hela zetu wakina sumaye na wenzake,,,ajali zinaendeleaa,,wamekuja wengine tuaambiwa askari wanaongezeka kila baaad ya mita kadhaa wapi ":"""ISRAEL BADO ANAKULA KICHWA"" so hivi punde kaja mkuu KOMBE naye anayake ya kuzuia ajali bado na si hilo nimeambiwa siku hizi folen haziishi dar es salaam jamaa ameshindwa kabisa kucontrol hata """TRAFFIC JAM"" aje kuzuia ajali,,so wenzangu wa anga tusaidiane kuelekeza nini cha kufanya,,,kuna ajali ya mbeya ya ndege watu wamechuna tukahisi yanaisha kumbe "mkuu ISRLE"" YUKO safarini....
je kuanguksa kwa ndege nini chanzo

Mheshimiwa Raisi ameshasema 'ajali haina kinga' na 'kazi ya mungu haina makosa', sasa kwanini tupoteze muda wetu hapa kujadili vitu ambavyo havitakuwa implemented na wenye nchi?
 
Back
Top Bottom