Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wadau nimesoma hii post kuwa ndege ya Ukraine ilitunguliwa na Iran kimakosa.
Pamoja na tukio hili na mengine ya ndege kutunguliwa , kuna mshangao kidogo...
Ndege ikiwa angali huenda umbali (elevation from sea level) mpaka ya futi 33,000 ( kilomita 20) na kwa speed ya mpaka 990km/hr.
Inatunguliwaje katika hizo scenario wakuu ?
Hatimaye Serikali ya Iran imekiri kuitungua ‘kwa bahati’ mbaya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176, ikisema ni “kosa lisilosameheka.”
Ndege ya Ukraine aina ya Boeing 737-800 ilianguka Jumatano asubuhi muda mfupi baada ya kuruka wakati Iran ikirusha makombora dhidi ya kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Iraq kulipiza kisasi kwa mauaji ya kiongozi wake wa kijeshi, Qasem Soleimani.
Taifa hilo limeeleza kujutia kitendo hicho kilichosababisha maafa makubwa, amesema Rais wa Iran Hassan Rouhani kupitia ukurasa wake wa Twitter.
“Uchunguzi wa ndani wa vyombo vya dola umebainisha kuwa kwa bahati mbaya makombora yaliyorushwa kwa makosa ya binadamu yalisababisha ndege ya Ukraine kuanguka na vifo vya watu 176 wasio na hatia,” aliongeza.
“Uchunguzi unaendelea kuwatambua na kuchukua hatua kwa kosa hilo lisilokuwa na msamaha.”
Sent using Jamii Forums mobile app