Ndege inatunguliwaje wakati huwa juu futi 33,000 kwa speed ya 900km/hr ?

Wadau nimesoma hii post kuwa ndege ya Ukraine ilitunguliwa na Iran kimakosa.

Pamoja na tukio hili na mengine ya ndege kutunguliwa , kuna mshangao kidogo...

Ndege ikiwa angali huenda umbali (elevation from sea level) mpaka ya futi 33,000 ( kilomita 20) na kwa speed ya mpaka 990km/hr.

Inatunguliwaje katika hizo scenario wakuu ?

Hatimaye Serikali ya Iran imekiri kuitungua ‘kwa bahati’ mbaya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176, ikisema ni “kosa lisilosameheka.”
Ndege ya Ukraine aina ya Boeing 737-800 ilianguka Jumatano asubuhi muda mfupi baada ya kuruka wakati Iran ikirusha makombora dhidi ya kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Iraq kulipiza kisasi kwa mauaji ya kiongozi wake wa kijeshi, Qasem Soleimani.

Taifa hilo limeeleza kujutia kitendo hicho kilichosababisha maafa makubwa, amesema Rais wa Iran Hassan Rouhani kupitia ukurasa wake wa Twitter.

“Uchunguzi wa ndani wa vyombo vya dola umebainisha kuwa kwa bahati mbaya makombora yaliyorushwa kwa makosa ya binadamu yalisababisha ndege ya Ukraine kuanguka na vifo vya watu 176 wasio na hatia,” aliongeza.

“Uchunguzi unaendelea kuwatambua na kuchukua hatua kwa kosa hilo lisilokuwa na msamaha.”View attachment 1319372View attachment 1319373

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mabomu ya kutungua ndege yanafuata moshi, kwa hiyo Bomu linaenda moja kwa moja kwenye exhaust pipe, hata ikitokea ndege ikakata kona Bomu linafuata
 
Nashangaa watu wanapondaga na huku watalaamu wanahitajika kila kona.
Haya mahesabu nimecheza nayo sana kwenye university physics ile ya njano nikiwa advance. Ni vitu vya kawaida kwa msoma physics Nina imani tunaelewana

Hebu nisaidie kidogo hapa kitaalamu ingawa ni out of topic
Umepanda pickup truck nyuma ukiwa na mpira na dereva anaendesha gari kwa mwendo mdogo huku wewe unaurusha mpira na kila ukiurusha unakurudia mkononi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wadau nimesoma hii post kuwa ndege ya Ukraine ilitunguliwa na Iran kimakosa.

Pamoja na tukio hili na mengine ya ndege kutunguliwa , kuna mshangao kidogo...

Ndege ikiwa angali huenda umbali (elevation from sea level) mpaka ya futi 33,000 ( kilomita 20) na kwa speed ya mpaka 990km/hr.

Inatunguliwaje katika hizo scenario wakuu ?

Hatimaye Serikali ya Iran imekiri kuitungua ‘kwa bahati’ mbaya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176, ikisema ni “kosa lisilosameheka.”
Ndege ya Ukraine aina ya Boeing 737-800 ilianguka Jumatano asubuhi muda mfupi baada ya kuruka wakati Iran ikirusha makombora dhidi ya kituo cha kijeshi cha Marekani nchini Iraq kulipiza kisasi kwa mauaji ya kiongozi wake wa kijeshi, Qasem Soleimani.

Taifa hilo limeeleza kujutia kitendo hicho kilichosababisha maafa makubwa, amesema Rais wa Iran Hassan Rouhani kupitia ukurasa wake wa Twitter.

“Uchunguzi wa ndani wa vyombo vya dola umebainisha kuwa kwa bahati mbaya makombora yaliyorushwa kwa makosa ya binadamu yalisababisha ndege ya Ukraine kuanguka na vifo vya watu 176 wasio na hatia,” aliongeza.

“Uchunguzi unaendelea kuwatambua na kuchukua hatua kwa kosa hilo lisilokuwa na msamaha.”View attachment 1319372View attachment 1319373

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukusoma Projectile motion hebu google upate hints hafu urudi tena
 
Projectile motion.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili sio la aina hiyo. Kuna mchangiaji mmoja amesema kuwa aina hii ya makombola hufuata uelekeo wa targeted object, kwa maana ya kuwa ikitokea hiyo object ika-change direction kabla ya kufikiwa na kombola, kombola nalo hubadili uelekeo kuifuata. Tofauti na aina hii unayoongelea, ambayo mara nyingi hutumika kupiga stationary objects. Hapa hupigwa hesabu ya target ilipo (range), kimo (maximum height) itakayofikiwa na hilo kombola, na projection speed yake. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanapiga hesabu za magnitude ya velocity ya hilo kombola at the instant it is shooting the target. Hiyo ndio projectile motion unayosema (trajectory motion).
 
Nadhani lilitumika laser guided missile, hili ndilo hufuata targeted object hata ikibadili mwelekeo...
 
Mwarabu muda mwingine akili zao si za kawaida mnapiga ndege na kuua mnasema ni bahati mbaya USA some time nampongeza
 
Hayo mabomu ya kutungua ndege yanafuata moshi, kwa hiyo Bomu linaenda moja kwa moja kwenye exhaust pipe, hata ikitokea ndege ikakata kona Bomu linafuata
Thana ya kufuata moshi ni technology ya miaka ya 50.Sasa ni laser guided missle na artificial intelligence kombora lenyewe likiwa angani likigundua badiliko nalo linapiga akili linabadili uelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu muda mwingine akili zao si za kawaida mnapiga ndege na kuua mnasema ni bahati mbaya USA some time nampongeza
Huyo mmarekani akipiga maharusi na wanafamilia na kuua mamia ya watu akidhani anapiga msafara wa Al Awlaki huko Yemen those years yeye ndie wa kupongezwa sio ! Acha bhanaaa !
 
Back
Top Bottom