Ndani ya cape town

Ndani ya cape town

Ngoja niondoke hizo shades ulizoweka....hizo hiace jamaa wanaita Taxi!
Yaani kama ulikuwepo mkuu. Nlikuwa Durban nkataka niende sokoni kwao kule town kutokea mabhida stadium basi msela ananiambia chukua taxi ni Rand 5 tu, kuangalia hizo hiace ndio taxi
 
Nilikuwepo hapa mwaka 2012,sikukaa sana nilijionea table mountain nikasepa zangu jozi
Nalog off
 
Vp mjomba kwenye iyo border ya beitbridge naskia pagum kupita sana sana kama unazamia bila p.port.....
 
Hapa ndiponnilipokuja kuamini kuwa maneno ya mitandaoni si yakuaminika hata theluthi,niliambiwa hakuna Boda ngumu kama Bite Bridge wanapiga search mpaka kwenye chupi.pia nikaambiwa Zimbabwe si sehemu salama.Ila yoooote hayo sikuyaona wala sikusikia,tena lile border ndio nililiona kuwa rahisi kuliko Boda Zoote.
Vp mjomba kwenye iyo border ya beitbridge naskia pagum kupita sana sana kama unazamia bila p.port.....
 
Sawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri

Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda


Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Tunatembea vifua mberee
 
Wakuu habari,

Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa

Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.

Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi

Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.

Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,

NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.

BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
Pambana kamanda utatoboa,unaonekana utahimili mapigo ya huko.Simamia unachokiamini
 
Back
Top Bottom