Hapo Capetown kuna masai wengi tu wanauza vinnyago Na dawa za asili.Ubaguzi mwingi kuna club za wazungu tu na ziko za mashoga tu na wasagaji tu uwe makini ukiingia hovyo kuua mtu sio kazi .Pia jiepushe umalaya kama uko kusaka maisha waweza beba mwanamke au mwanaume kumbe jambazi linakupora hadi passport Na Kila kitu chumbani.Watanzania wengi huitwa hivyo.Usiwe Na haraka kumzoea mtu hata kama mtanzania mwenzio au mkenya .Wasalimie table mountains ukipata muda katalii baharini kwa boti au helicopter Na ukipata nafasi katalii roben island alikofungwa Mandela.Baridi vipi mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] huku sitoki mpaka kieleweke mkuu
Mkuu shukran kwa ushaur wako,pia ondoa Shaka kwa hilo,nipo making sana coz japo sina MKE wala mtoto ila ndugu zangu wananitegemeaMkuu kuwa makini usipende kukaa au kwenda kwenye flats hakufai na usijiunge na makundi ya kihuni kama the Americans na numbers tu utaharibu maisha yako
Kwa hali yako najua utakaa mitaa local kama mitchells plains na mengineo just umakini tu unahitajika sabb wahuni wengi
Fursa zipo sema huko wasomali wameshika sana maduka .
Mademu wa kiAfrikano wazuri nadhani utawafaidi sana wapo simple
Nimekuja kihalali kabisaTupia ABC mpaka kufika huko kwa kujibu maswal haya
1;umeenda kihalali au umezamia
2;unaenda kupiga issue gan na kama huna issue umejipangaje
3; kwanini Capetown na sio miji mingine
4;umefata njia zipi mpaka kufka Capetown
Kwa gari?Mkuu Ni safari ya siku tano from dar to cape town
wakati wa ubaguzi wa rangi kulikuwa na maeneo ya wazungu pure,Waafrika pure Na machotara.Cape town ni eneo la machotara wa kizungu ambao wana wazazi mchanganyiko wa mzungu na mwafrika au mzungu na mhindi au mzungu na mwarabu.Machotara Wao walipewa Capetown . Waswahili Soweto nkKumbe SA imejaa Warangi rangi wa Singida?
Hatari sana,Singida oyee.
Shukran kwa ushaur mkuu,kuhusu kutalii au clubs sio hobby yangu hata robo aisee sinaga mambo za starehe zaid yakugegeda kiwastani.Hapo Capetown kuna masai wengi tu wanauza vinnyago Na dawa za asili.Ubaguzi mwingi kuna club za wazungu tu na ziko za mashoga tu na wasagaji tu uwe makini ukiingia hovyo kuua mtu sio kazi .Pia jiepushe umalaya kama uko kusaka maisha waweza beba mwanamke au mwanaume kumbe jambazi linakupora hadi passport Na Kila kitu chumbani.Watanzania wengi huitwa hivyo.Usiwe Na haraka kumzoea mtu hata kama mtanzania mwenzio au mkenya .Wasalimie table mountains ukipata muda katalii baharini kwa boti au helicopter Na ukipata nafasi katalii roben island alikofungwa Mandela.Baridi vipi mkuu
Mtafute Zari Boss-lady, wewe si timu WASAFI? ATAKUSAIDIA KAZIWakuu habari,
Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa
Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.
Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi
Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.
Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,
NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.
BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
Duh, Dar - Songea hiyo ...
Tofauti ya Capetown na hapa kwa DAB ni nini mkuu ulioiona toka ufikeNimekuja kihalali kabisa
Ninaanza na fani ya kunyoa coz nimeshameet na wabongo vinyoz.
Niliambiwa cape town hakuna usumbufu kwa wageni kama johbeg na Durban.
Dar to tunduma,Lusaka, harare mpaka cape town
Nimefarijika sana kuona comment yako mkuu, urakoze