Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,184
Hiyo inakuwa nauli pamoja na passportMkuu jipange na laki tano utafika vizur ila uwe na pakufikia
Hiyo inakuwa nauli pamoja na passportMkuu jipange na laki tano utafika vizur ila uwe na pakufikia
Mambo yako bado hayajakaa sawaHiyo inakuwa nauli pamoja na passport
Mkuu umenikumbusha mbali sana ukishuka chini kidogo pale kwenye ile shule kubwa ukakata kushoto unafika JMall hapo huwa kuna kazi jaribu kuongea na hao wanyarwanda hapoKwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Kikwete alisema ukiambiwa changanya na zako. Muhimu kila neno tunalosikia kujiongeza badala ya kulibeba kama lilivyoHapa ndiponnilipokuja kuamini kuwa maneno ya mitandaoni si yakuaminika hata theluthi,niliambiwa hakuna Boda ngumu kama Bite Bridge wanapiga search mpaka kwenye chupi.pia nikaambiwa Zimbabwe si sehemu salama.Ila yoooote hayo sikuyaona wala sikusikia,tena lile border ndio nililiona kuwa rahisi kuliko Boda Zoote.
Mkuu umenikumbusha mbali sana ukishuka chini kidogo pale kwenye ile shule kubwa ukakata kushoto unafika JMall hapo huwa kuna kazi jaribu kuongea na hao wanyarwanda hapo
Nimeishi kwenye hizo flat upande wa pili wa hapo parkstation kisha nikahamia Capricorn all the best maisha ni kutafuta usikate tamaa
Mkuu mbona pale nimeenda mara mbili sijapata cha tembele wa dagaa!! Ila wako fresh kwa vyakula vya home.mkuu umeshaenda MEETING POINT kula ugali tembele na dagaa
Siyo kweli Nina marafiki wa kike mpaka tumekuwa watu wazima hakuna la ajabu tumefanya tumefka hatua tunalala kitanda kimoja hakuna hata kutamaniana inategemea mmejenga urafiki kwa msingi gani!haaaa babu aliwahi niambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke sawa na kutembelea muwa kama mkongojo jangwani lazma kiu ikikushika uunyonye
Kaza haitachukua muda sana ila jiepushe na mahusiano hadi utakapokuwa mwenyeji usiende table mountain kwa mualiko labda uende mwenyewe tu kutembea B.bridge ni kweli ina ukaguzi mi nilikaguliwa pale nusu kivuliwa nguo labda walikuona sio tishio ndio maana ikawa rahisi ukaguzi hutegemea aliyepo siku hiyo maana nimeshapita sana hapo furahia pie za hapo ukipata mda piga picha apple street capricorn hapo palikuwa nyumbaniPamoja sana shukran sana kwa ushaur Wa faida,bado natafuta acha nikaze
Nitaku pm nipate mawasiliano yako Kuna kitu (biashara) tushirikiane Mimi nipo tz.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mungu ibariki Tanzania
Una maana kakatiza na boat kutoka Libya?😂😃😁😀
Upo Lampaduse Kule Italy
Nimetembelea hapa water Front tu,sitembei tena natafuta kilichonileta coz tayar nimepata kibaruaView attachment 973009
Mkuu, ukaguzi unakuwa mkali sababu huna Passport ama shida ni nini? Just curiousKaza haitachukua muda sana ila jiepushe na mahusiano hadi utakapokuwa mwenyeji usiende table mountain kwa mualiko labda uende mwenyewe tu kutembea B.bridge ni kweli ina ukaguzi mi nilikaguliwa pale nusu kivuliwa nguo labda walikuona sio tishio ndio maana ikawa rahisi ukaguzi hutegemea aliyepo siku hiyo maana nimeshapita sana hapo furahia pie za hapo ukipata mda piga picha apple street capricorn hapo palikuwa nyumbani
Milima inaipamba cape