RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,153
- 138,216
Ngoja niondoke hizo shades ulizoweka....hizo hiace jamaa wanaita Taxi!Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Ngoja niondoke hizo shades ulizoweka....hizo hiace jamaa wanaita Taxi!Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Wewe unasubiri nini insta babe..
Nimekuja kuna ishu nafanya.Hata sijui mama angu usiniambie uko upo kurudi lini tena
SawaKwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Naona unaonesha upendo wako kwangu umevaa jersey yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana hilo jina mm wa hapahapa tu insta babe
Nimekuja kuna ishu nafanya.
Nadhani mwakani kwenye June naweza kuja mara moja kisha nageuza tena
Wala sitakukimbia.Poa mkuu nitakuja kuangalia fursa aisee usinikimbie lakini[emoji1]
Humo kwenye Rambo pembeni umebeba nnKwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Amina.Hongera sana mpenzi Mungu azidi kukufanyia wepesi mambo yako yazidi kufunguka tu
Naona unaonesha upendo wako kwangu umevaa jersey yangu
Hahahhahah hawakawiiiiWala sitakukimbia.
Muhimu taarifa tu mkuu.
Ila usije niona ukaja nianzishia uzi humu Jf